Wadada someni hapa

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,866
2,746
mimi ni kijana mtanashati sana na nimemaliza elimu ya chuo kikuu. bado kazi yangu sio stable sana ila naitaji nipate mwanamke ambae tunaweza kuishinae. awe mzuri kwa sura tabia na akivaa nguo ziwe zinamkaa. asiwe mnene wa kupiliza kwasababu mimi huwa nabuni mavazi so ya watu wanene siwezi na hawanipi midadi. kama kunayeyote ambae yuko serious tafadhali tuwasiliane.
 
Aiseee
 
kwa hapo tu ndio nshakukosa....unene huu.....:A S embarassed:
 
mimi ni kijana mtanashati sana na nimemaliza elimu ya chuo kikuu. Bado kazi yangu sio stable sana ila naitaji nipate mwanamke ambae tunaweza kuishinae. Awe mzuri kwa sura tabia na akivaa nguo ziwe zinamkaa. Asiwe mnene wa kupiliza kwasababu mimi huwa nabuni mavazi so ya watu wanene siwezi na hawanipi midadi. Kama kunayeyote ambae yuko serious tafadhali tuwasiliane.
hayo mavazi unabuni tu au utaninunulia kabisa? Ila ilo swaga lako nimelikubali navopenda pamba loh?
 
Kukumdogo, nibunie vazi basi mpenzi kibiashara zaidi lakini......niko serious
 
kwa hapo tu ndio nshakukosa....unene huu.....:A S embarassed:
Preta kitu hicho,..na wewe ulivyo mnene wala sio wa kupitiliza plus swaga za mavazi yako_utajiibulia kifaa kitanashati saana na kilichomaliza chuo kikuu...ila issue ni kwamba kazi yake sio stable sana,..........al da best mkuu
 
Tafuta hela kwanza ukishakuwa jogoo wala hutahitajika kupost JF....
ndio kwanza kamaliza chuo kikuu,.....asake mahela ndio mpango mzima_...hiyo habari ya utanashati na kumaliza chuo kikuu ni ubatili mtupu,.....akikua ataacha huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom