wadada punguzeni VITAMBIII!!

Ee kweli,kazi ipo,kwani kwa mfano kama ninacho unanisaidia kubeba si changu mwenyewe wewe kinakuuma nini?we tafuta asie nacho kama hupendi lakini kila m2 kwa raha zake,mi nlijua umekuja na point za kinachosababisha kumbe una yako!niache kula kwa raha eti naogopa kitambi kha,halafu nyie mnalia kitambi kitambi wengne Mungu ana makusudi yake embu pata picha nina matiti makubwa halafu tumbo sina kabisa how do i look,proportion inahusu pia,
acha kuwaongopea wenzio kitambi kwa mwanamke hakipendezi hata kidogo!! ..... mwanamke anakakua kama ana mimba muda wote!!kha.
MP.
 
Hivi kuna mahali pamesemwa wanaume vitambi ndo dili??? Hamjui na sisi mnatuboa na mavitambi yenu alafu mnaona ya wanawake wakati wote ni kichefuchefu. Shepu la Obama bana

wape mama!
vitambi kwa woote ni ugonjwa, mlionavyo vitokomezeni si afya ile ni tatizo!
woote ladies n gents vitambi vinaboa!
 
wape mama!
vitambi kwa woote ni ugonjwa, mlionavyo vitokomezeni si afya ile ni tatizo!
woote ladies n gents vitambi vinaboa!

wanawake vinaboa zaid...
ww ni pambo la nyumba...
sasa pambo gani halina shape???
aaaaarrrrggghhh
 
acha kuwaongopea wenzio kitambi kwa mwanamke hakipendezi hata kidogo!! ..... mwanamke anakakua kama ana mimba muda wote!!kha.
MP.

wavae mateneti kabisaa basi...sio kutubania mavitambi yao atii
 
Hata wanaume wenye vitambi wanakera, sijui huwa hawaendi chooni!

aaah madam vp tena?
tunaenda yale ni mafuta yamejihifadhi...
ninyi mna sehem kama matiti...hips...matuta huko nyuma...
huko ndiko mnakohifadhi wese...co tumbo alah!
 
mtambi wangu wa mimba bwana.

tunajua mimba ni miez 9 ikiwa abnormal basi kamwaka kamoja...
so tunakusamehe...
baada ya hapo maintain ua tommy thing aise!
hata ukipata mtt...jitahidi kufunga funga...na yale mamikanda yenu ivii...
mwanamke ukivaa nguo ikae bana..sio kutunatuna...kama gunia la pamba.
 
hata mimi mama yao sipendi, binti mzuri ana tumbo kubwa,
hampendezi hata kama mtachukia, fanyeni mazoezi pia
muwe na adabu ya kula, ukweli ndio huo. alaa.
 
Waambie bana! yaani wengine wana mitambi mpaka kitanda cha gesti chote wanaenea peke yao, shujaa inabidi ulale chini.
 
Back
Top Bottom