wadada punguzeni VITAMBIII!!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
ni maisha yamechagua ivyo au ni uzembe wenu tu??
kwa nn mdada (wasichana) unakua na kitambi aise...
huna hata mtt wa dawa...tumbo kule...
mnakula nn??
au mani*?? zimewazidi?
sasa baba kitambii...mama kitambiii...watoto wa cku hizi nao mule mule...
tunashindana?
nyie ni warembo sana...
ila mkiachia tumbo mnaharibu kila kitu..
hujui mbele wap nyuma wapi...
wenye watoto nawasamehe...
psssiiiixxxxiii!!
 
Hivi kuna mahali pamesemwa wanaume vitambi ndo dili??? Hamjui na sisi mnatuboa na mavitambi yenu alafu mnaona ya wanawake wakati wote ni kichefuchefu. Shepu la Obama bana
 
najua kiukweli hapo ww huna kitambi...
na wala hukipendi...
sasa usiwadanganye wenzio...
kwa iyo haki sawa hadi huku sio?
 
Dah, mbona matusi tena?
back to topic: nadhani ni wakati sasa wanawake kwa wanaume waanze kuelimishwa juu ya kujali afya zao na kupunguza vitambi na unene..!
 
tupe kidogo walau cha kuanzia..
 
Mazoezi baba, mazoezi! Pamoja na kuwa na displini ya misosi.. Mipombe ya bure nayo inywewe kwa staha. Upo hapo Bagah?
 
mazoeziiii...na nizam ya chakula sawa...
pombe za bureee...mh!utata mtupu!
 
Mazoezi baba, mazoezi! Pamoja na kuwa na displini ya misosi.. Mipombe ya bure nayo inywewe kwa staha. Upo hapo Bagah?

Hakika. Mazoezi na nidhamu katika kula ndiyo suluhisho.

Haya yanaendana kiujumla na kubadilisha life style hususani kwa wale wanaoishi mjini. Mfano,kutembea kwa mguu mahali pasipohitaji kwenda na gari. Kutumia ngazi badala ya lift kwenye majengo ya ghorofa. Na pia kuepuka unywaji wa pombe kwa kupitiliza.
 
Na nyie mpunguze mavitambi. Mnatukere na mitumbo yenu ya minyoo..oops...!
 
Ee kweli,kazi ipo,kwani kwa mfano kama ninacho unanisaidia kubeba si changu mwenyewe wewe kinakuuma nini?we tafuta asie nacho kama hupendi lakini kila m2 kwa raha zake,mi nlijua umekuja na point za kinachosababisha kumbe una yako!niache kula kwa raha eti naogopa kitambi kha,halafu nyie mnalia kitambi kitambi wengne Mungu ana makusudi yake embu pata picha nina matiti makubwa halafu tumbo sina kabisa how do i look,proportion inahusu pia,
 
hahahahaha! Duh
 
Back
Top Bottom