Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Nakuchukulia kama dada yangu ana maana (una sura mbaya)

Sikupendi kimapenzi (una sura mbaya)

Sitaki kujihusisha na mapenzi kwa wakati huu (una sura mbaya)

Kiukweli nina girlfriend yuko masomoni (una sura mbaya)

Nakwepa kuwa na mahusiano na mtu ninaefanya nae kazi (una sura mbaya)

Tatizo sio wewe ni mimi (Una sura mbaya)

Nimeamua kuwa bachela mpaka kifo (una sura mbaya)

Tuwe marafiki tu (Una sura mbaya)
 
Mi zote nakubaliana ila EXCEPTION inawakuta wenye sura mbaya Iila POCHI LILITUNA MADOLARI. Ukiwa na KISU kirefu bana hakuna atakaewaza hilo sura lako. Pesa sabuni ya roho! NAKUONA BONGE LA HANDSOME
 
Wengine shepu ndo kila kitu
mwanamke hata awe na sura mbaya vipi
kama una figure ya kufa mtu
watu wanakugombania still
 
nyie wanaume mbona hamueleweki..wengi si mnawazia K tu sasa hiyo sura inakujaje tena mnahusudu na yale ma-wo wo wo yakiruka singida dodoma singida dodoma??
 
nyie wanaume mbona hamueleweki..wengi si mnawazia K tu sasa hiyo sura inakujaje tena mnahusudu na yale ma-wo wo wo yakiruka singida dodoma singida dodoma??

Yep,unaweza yahusudu hata ukatoboa suruali akiwa anaenda away from u.
Ila akigeuka kuitikia salaaam unaweza ishiwa hisia zote ukasahau
Singida na Dodomya zote
 
Mheshimiwa spika,

mie hata akiwa na sura nzuri kiasi gani, akiwa mwembamba tu basi kwangu tutabaki marafiki wa kudumu, no love. Hata akiwa na sura mbaya kiasi gani, akiwa mnene tu basi tutagombana hadi dakika ya mwisho
 
Nakuchukulia kama dada yangu ana maana (una sura mbaya)

Sikupendi kimapenzi (una sura mbaya)

Sitaki kujihusisha na mapenzi kwa wakati huu (una sura mbaya)

Kiukweli nina girlfriend yuko masomoni (una sura mbaya)

Nakwepa kuwa na mahusiano na mtu ninaefanya nae kazi (una sura mbaya)

Tatizo sio wewe ni mimi (Una sura mbaya)

Nimeamua kuwa bachela mpaka kifo (una sura mbaya)

Tuwe marafiki tu (Una sura mbaya)

Nyumbani kwetu hawajakupenda(una sura mbaya)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom