Wadada naombeni jibu!!!!

We si mwanaume wa kibongo!!!?Jichunguze utapata jibu....wanawake wanawasemea tu il nyie ndo mnaojua ukweli!!

mimi nadhani nahitaji kujua zaidi.......manake 1st gf alinitosa baada ya kudate kwa zaid ya 3yrs bila ku du, wa pila akanikimbia naye hatuku du,mpaka leo nina 30 yrs sija du yaani bado virgin kwani naogopa maumivu ya kukimbiwa tena,so wanaume wa bongo tukoje?????????
 
Rom wa ma romance naongea... huyoo wa kwanza kukumdoooo ndo maaana alikimbiaaaa ...... Khaaa!!!
 
mimi nadhani nahitaji kujua zaidi.......manake 1st gf alinitosa baada ya kudate kwa zaid ya 3yrs bila ku du, wa pila akanikimbia naye hatuku du,mpaka leo nina 30 yrs sija du yaani bado virgin kwani naogopa maumivu ya kukimbiwa tena,so wanaume wa bongo tukoje?????????
Mko kama mlivyo....jichunguze!
 
Mwenye mtazamo huo ni yule anayelinganisha wanaume wa kizungu na wale wa kiafrica/kibongo ktk ufanyaji wa majambozzz. Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba wanaume wa kizungu hawapati mzuka haraka ndo maana utakuta hadi kitu sijui ilambwe, inyonywe ndo isimame au wakati mwingine inafia humo humo.Kifupi ni kwamba hawana nguvu za kiume kama za mwanaume wa kibongo/mwafrika so they have to be much more romantic kuvuta stimu. Mwafrika baba haitaji yote hayo ili kitu iseme kidumu chama cha ... Hivyo kutokana na hili wanaume wa kiafrika wanaonekana hawako romantic, wanakimbilia kudumbukiza haraka ukimlinganisha na mzungu. In short, the issue is more biological than physical.
Sijui kama nimejibu swali au nimeingia chaka wadau
 
Mi sina list....na wote nnaowajua sio wa bongo!!
Shangazi we mkali!Inamaana sina anko mbongo!!Ila hao inaonekana walikuwa full romantic!Mpaka anaemiliki muda huu!!!!
 
Tatizo linakuja pale Binti anapotaka apate Treatments kama anavyoona kwenye Movies na Series za Kimapenzi..
Hivyo kama Mwanaume hawezi ku-act kama wenzake kwenye Movies basi anaonekana unromantic :music:
 
Tatizo linakuja pale Binti anapotaka apate Treatments kama anavyoona kwenye Movies na Series za Kimapenzi..Hivyo kama Mwanaume hawezi ku-act kama wenzake kwenye Movies basi anaonekana unromantic :music:
labda hii!
 
Back
Top Bottom