Wadada na zawadi....

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Kwa kweli mimi hujitahidi sana kutoa zawadi kwa my wife to be, Ila kuna kitu sielewi kabisa! Najua zawadi ni muhimu kuonyesha unajali(mwenyewe napenda zawadi)-Ila linalonitatiza dada zangu ni Reaction zenu mtu anaposahau kukupa zawadi kwenye tukio fulani....Yani na weza kuwa jana nilimpa zawadi naleo siku ya tukio sijampa-itabidi inicost wiki nzima kubembeleza!
Kina dada: what is sooo special kwenye kutoa zawadi kila tukio fulani(birthday, aniversary)?
 
Mimi tena siku ya tukio ndio kabisa sipendi kutoa zawadi..Napenda iwe suprise..sasa kama mtu anakaa anajiandaa kabisa anajua nitakuja na zawadi haina maana..
 
he he hee wewe utakuwa una date watoto wa masaki aisee
uswazi hakuna hiyo
ugali na nauli ya daladala kwisha kazi....

we unabembeleza wiki nzima..aisee pole sana

jaribu wadada wa uswazi uone mambo....


Hahahahahah...umenikumbusha magunia ya mkaa, matenga yetu ya nyanya au matunda pori!!!

Kazi kweli kweli,

Babu DC!!
 
Mimi tena siku ya tukio ndio kabisa sipendi kutoa zawadi..Napenda iwe suprise..sasa kama mtu anakaa anajiandaa kabisa anajua nitakuja na zawadi haina maana..

Mi nnachoamini zawadi hutolewa kumpongeza mtu kwa kitu alichoachieve au kuonyesha tu ulikuwa unamuwaza...sasa hizi za matukio mara chrismass naona kama kuendeshwa na matukio...
 
Hivi kudekezwa ndo nini?Hebu nieleweshe,Maana nikijaoa akataka kudekezwa nijue!

Hahahaahahaha,

Unadahni utaelewa sasa?

Subiri kwanza muda ufike..Ukinunuliwa na kupigwa ban ya week moja kama anavyoseme Petcash lazima somo litaeleweka tu!!

Trust me, kwa sasa utakuwa unajaribu jaribu kutegengeneza images kichwani ila picha kamili hutapata kaka!!


Babu DC
 
Hahahahahah...umenikumbusha magunia ya mkaa, matenga yetu ya nyanya au matunda pori!!!

Kazi kweli kweli,

Babu DC!!


yaani hawa vijana wanahitaji 'mafunzo' namna ya ku 'entertain' wanawake aisee
wanazungumzia chocolate wakati wanawake wao pengine ugali kuku ndo 'wanaridhika'
too much 'maigizo'
inabidi nije na thread siku moja..lol
magunia ya mkaa tena yamepanda bei aisee lol
 
Hahahahahah...umenikumbusha magunia ya mkaa, matenga yetu ya nyanya au matunda pori!!!

Kazi kweli kweli,

Babu DC!!

Hahaha! Sasa huyo ndo umesimama naye kituoni mnasubiri daladala, limekuja watu full kugombania mlango-wakati unafanya masematiks mwenzio siku nyingi alishapanda! duh-kweli mjini noumer!
 
Mimi nimnunulie mwanamke zawadi, nitoe pesa zangu bank sababu ya mwanamke ambaye sio mke wangu bado...mbona kuna kazi
 
yaani hawa vijana wanahitaji 'mafunzo' namna ya ku 'entertain' wanawake aisee
wanazungumzia chocolate wakati wanawake wao pengine ugali kuku ndo 'wanaridhika'
too much 'maigizo'
inabidi nije na thread siku moja..lol
magunia ya mkaa tena yamepanda bei aisee lol

Co-authorship inaruhusiwa?

Ningependa nitoe walau mchango wangu....

Zawadi sawa, ila sasa inaonekeana kama watu wanaanza kujisahau kabisa.....Utakimbizanaje na maua kumpelekea dada anayehangaika kupata sahani ya chips + mayai?

Babu DC
 
he he hee wewe utakuwa una date watoto wa masaki aisee
uswazi hakuna hiyo
ugali na nauli ya daladala kwisha kazi....

we unabembeleza wiki nzima..aisee pole sana jaribu wadada wa uswazi uone mambo....


Sawa sawa kaka yaani yeye zawadi ndo bond ya relation!!!!! it seems anaacha kufanya yanayohitajika kwa mtoto wa kike instead kakomalia zawadi zawadi.......
Boss mkuu tuombe ianzishwe boyz corner ili threads hizi ziwekwe huko na sie tulopevuka tuwaelekeze wadogo zetu on how to deal with issues (not ngono) maana I see a crisis comming

To the boy; Do the needful..........hata usipoleta zawadi hutonuniwa kaaamweeee ila kama hutimizi wajibu wako utanuniwa weeeeeee hata ukimpa gari halafu likapata pancha utanuniwa...........remote ikiwa low batt atakununia....know what!!!! Kwa wanawake kununa kuna beba maana nyingi sana usiishia kufikiri ni zawadi tuuuu
 
majipenzi ya kidhungu hii.....kibongobogo hamna.....uchumi wenyewe shilingi haipatikani kiurahisi!!
 
Asante 'critic', watu kama nyinyi mnafanya tuuone upande mwingine wa shilingi

Watu hapa watakuja wakwambia usotoe zawadi kamwe, lakini kumbuka mwanamke ulonae unamjua wewe.

Wengine kama huna kawaida ya kutoa zawaidi, lazima tukununie
 
Back
Top Bottom