Risa
Senior Member
- Feb 10, 2012
- 177
- 32
Kuna kitu inaitwa "Maji" au "maji ya ziwa victoria" lazima ujifunze.ukiisha ijua, kwenye godoro lako utakuwa unatandika kwanza plastick ndio yanafuata mashuka.Kifupi wanaiita "katerero"
Mhhhh!!!!!
Kuna kitu inaitwa "Maji" au "maji ya ziwa victoria" lazima ujifunze.ukiisha ijua, kwenye godoro lako utakuwa unatandika kwanza plastick ndio yanafuata mashuka.Kifupi wanaiita "katerero"
Utajua miti shamba ya kila aina duniani ,utapatiwa na shuntama na tanakabawee
Ingia hapa-https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/17257-wahaya-tunachunguzwa-sana-katika-mapenzi-why.html?highlight=
Ingia hapa-https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/17257-wahaya-tunachunguzwa-sana-katika-mapenzi-why.html?highlight=
Mh! Sikufahamu kuwa Kupata Mchumba Mhaya ni Bahati!! CV yako kama ipo Chini basi ni Bahati kweli..Hongera Sana Toto la Kitanga... Kwa bahati yako uliyopata... ukifika ukweni Hili neno usiache kulitamka Uwagambire ''Waikora Waitu'' Yaani Asante Sana... Kila wakikupa kitu chao... Utakula Senene na Matoke... ''Iwe'' na pia usimnyime mtu huko kitu ambacho si Chako!Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.
Bado nipo nipoSon upo? subiri niipitie hiyo thread ya kihaya..umefichwa wapi weye mutu??
Mtarajiwa kila la kheri..ukaribie Bukoba ipasavyo!!
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume wa kihaya? Maana mimi ni mbondei.