Wadada na Chips Mayai!!!!

mkuu hapo si unaikamilisha mwenyewe....ongeza kachumbari[salad],matunda,ukiweza na mishikaki/vikuku kadhaa..... hata ukila ugali+nyama bila matunda na salad hauwezi kukamilika......

Angalia: chips mayai 1300 - 1400, salad 1000, mishkaki 200, vikuku 1500 yeyote mpenda dezo ataweza hapo??
 
....kwahio chips mayai mishikaki+kachumbali ni kama $1.5 tu,still very very cheap......sasa hio nayo unamnunua mtu.......
 
yah ni kweli cheap lkn ni afadhali uchanganye chakula kuliko kula msosi wa aina moja mfululizo.
 
Suala la kusema ni cheap nakataa. Katika mazingira ya chuo sijawahi ona binti kaagiza chips kavu ambazo ni sh 700/800.

Huwa wanaagiza na mishkaki 2 ambapo jumla inakuwa 1300/- au yai 2 na inakuwa 1200/- wali nyama ni sh 800, wali maharage mia 6, wali njegere mia 8, wali rost buku, wali samaki na wali maini buku mia 2, tambi buku, ugali mapande buku jero, n.k.

Sasa msitake tuamini kuwa ni urahisi. Tena hawapendi vitu cheap. Wala chips hazifanyi mtu kuwa laini. Wanatumia vipodozi hao. Chips kwa wingi zinaharibu ngozi kutokana na mafuta mengi na machafu yatumikayo. Zinanenepesha na zina madhara ya muda mrefu.

Mwenza wako asipendelee sana hiyo kitu
 
Suala la kusema ni cheap nakataa. Katika mazingira ya chuo sijawahi ona binti kaagiza chips kavu ambazo ni sh 700/800. Huwa wanaagiza na mishkaki 2 ambapo jumla inakuwa 1300/- au yai 2 na inakuwa 1200/- wali nyama ni sh 800, wali maharage mia 6, wali njegere mia 8, wali rost buku, wali samaki na wali maini buku mia 2, tambi buku, ugali mapande buku jero, n.k. Sasa msitake tuamini kuwa ni urahisi. Tena hawapendi vitu cheap. Wala chips hazifanyi mtu kuwa laini. Wanatumia vipodozi hao. Chips kwa wingi zinaharibu ngozi kutokana na mafuta mengi na machafu yatumikayo. Zinanenepesha na zina madhara ya muda mrefu. Mwenza wako asipendelee sana hiyo kitu

Noted mkuu!
 
Suala la kusema ni cheap nakataa. Katika mazingira ya chuo sijawahi ona binti kaagiza chips kavu ambazo ni sh 700/800.

Huwa wanaagiza na mishkaki 2 ambapo jumla inakuwa 1300/- au yai 2 na inakuwa 1200/- wali nyama ni sh 800, wali maharage mia 6, wali njegere mia 8, wali rost buku, wali samaki na wali maini buku mia 2, tambi buku, ugali mapande buku jero, n.k.

Sasa msitake tuamini kuwa ni urahisi. Tena hawapendi vitu cheap. Wala chips hazifanyi mtu kuwa laini. Wanatumia vipodozi hao. Chips kwa wingi zinaharibu ngozi kutokana na mafuta mengi na machafu yatumikayo. Zinanenepesha na zina madhara ya muda mrefu.

Mwenza wako asipendelee sana hiyo kitu

Nimeguswa na hiyo bei hapo kwenye bold
Kama chips mayai 2 itakuwa 1200/-hebu tunyambulie costing inafikiwaje hiyo bei?
 
unakula chips na mayai hapo ni protein na starch tu! kisha unajazia soda! aggggrrr ndio ukaona wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wanakuwa na matumbo.
 
Hivi ni nani alivumbua hiki chakula kiitwacho chips mayai??kwa sababu nahisi ni chakula kinaliwa zaidi TZ kuliko nchi nyingine...
Wasichana wana hulka ya kupenda zaidi chips kuliko wanaume na si kwa sababu ya bei. Nenda ata ktk minuso mbalimbali utaona wasichana wengi wanakula chops kuliko wanaume ata kama ni bure or of the same prices. Wenyewe wanasema sidanganyiki ila kwa chips kuku nadanganyika!!!
 
Umeona eeh!! Hicho ndicho kilicho nifanya nijiulize zaidi, hata staili ya kula wengi wanafeki, hm anakula kivingine.
 
Back
Top Bottom