Wadada Mpo?

Kutulia kwa mdada ni relative term maana mdada anaweza kutulia kutokana na mazingira, yupo na nani, kwa ajili ya nini na kwa kipindi gani. Ukimtaka dada aliyetulia muombe Mungu ama nenda kwenye makanisa ya mama Rwakatare au kwa askofu kakobe
 
Wanajamii nimezungukaaaaa na kutumika sanaaaaa sasa naamua kutulia. tatizo langu ni wadada waliotulia wanapatikana wapi?

Wabongo siku hizi balaa. Leo nilikuwa nazungukazunguka kwenye Cyberspace nikakutana na blog moja ambayo bado ni mpya na changa. Blog hii inaonekana ni sehemu ya kuwakutanisha watu particularly wabongo wanaotafuta marafiki au wachumba. Blog hii inajulikana kama wabongomeet. Unaweza kuiona kwa click hapa Rafiki/ Wachumba.
 
subiri na wao nao mpaka waamue kutulia kama wewe ulivyoamua...ila kwa sasa endelea tu na nyeto kama vp
 
Wabongo siku hizi balaa. Leo nilikuwa nazungukazunguka kwenye Cyberspace nikakutana na blog moja ambayo bado ni mpya na changa. Blog hii inaonekana ni sehemu ya kuwakutanisha watu particularly wabongo wanaotafuta marafiki au wachumba. Blog hii inajulikana kama wabongomeet. Unaweza kuiona kwa click hapa Rafiki/ Wachumba.
nimeitembelea blog hiyo nimekutana na warembo wazuri.........nimetupa karata yangu kwa mmoja....but nina wasi wasi isije kuwa ni madume yameweka picha za majike.......
 
Back
Top Bottom