wadada mliopo dar

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Wadada na wamama mliopo dar es salaam, Wapi naweza kupata handbag hanger a.k.a kidaka pochi?

Asante kwa kunijibu!

Luv u alllllll...........
 
asante mamie Yummy je kariakoo havipo?

Mmhhh Kariakoo sijui mwaya,na sijaenda siku nyingi. Lakini kwa ushauri pitia huko kwanza uulizie unaweza kupata na for sure bei itakua nafuu kuliko huko kwingine.
All the best na weekend njema.
 
Mbona umeuliza wakina dada tu? Hujui wanaume nao wanatumwaga madukani kununua pochi za wapenzi wao?
 
Mbona umeuliza wakina dada tu? Hujui wanaume nao wanatumwaga madukani kununua pochi za wapenzi wao?

Sawa kabisa,
tena Junior Cux, Platozoom na Bishanga wanaongoza,
na hivi wana nyumba ndogo za kumwaga,
basi balaa tupu na hekaheka za kupigana vikumbo Manjiani.
 
Ukiuliza kwenye blogu ya Mange Kimambi utapata jibu mara moja. Humu wakina Preta wanahang kwa mromboo bar, ukiweka kidaka pochi wauza karanga wanakwiba ukome na bili!
 
Last edited by a moderator:
Makubwa haya......
we mgeni ehee.....?
Nenda kariakoo utapata.
 
Ukiuliza kwenye blogu ya Mange Kimambi utapata jibu mara moja. Humu wakina Preta wanahang kwa mromboo bar, ukiweka kidaka pochi wauza karanga wanakwiba ukome na bili!

hahahaa haya mamie. thnx lakn
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom