Wadada kuvaa Dera/gauni refu ambalo ni Transparent

Mbona mnafuatilia vitu visivyo na tija ngoja Magu azidi kubana tutakuwa kama ulaya unajali yako tuu maana hayakuletei ngawira
Yanatuhusu mkuu, ukivaa hivyo inaleta msukosuko kwa mwanaume.
 
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Sasa afadhali hivyo kuna wengine wanavaa refu halafu wanachomeka kwenye chupi haha simuliwa tu usione kinachoendelea baada ya hapo
 
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Halafu juu anahijabu, eti kaficha maungo yake ila chupi na tako linaonekana kwa ufasaha tu
 
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Mkuu huna japo kapicha?
 
Tupia kapicha.
1478367957675.jpg

Habari kama hizi bila picha zinakua hazieleweki kabisa

Weka picha tuone

Picha tafadhali si wengine huku Nanyumbu ni mgeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom