Wadada kuvaa Dera/gauni refu ambalo ni Transparent

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,791
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
 
Kiingiacho mjini si haram.
 
Picha tafadhali si wengine huku Nanyumbu ni mgeni.
 
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
mara nyingi wanavaa na tight ndani unaweza fikiri hawana nguo nyingine,lakini nadhani shida ni ufuska tu,maana me wananikera wanapolichomekea kwenye tight au chup wananikera sana sina jinsi tu>
 
Wanafanya biashara tangazo.....wew fanya ivi...mwonyeshe pesa tuuuu aseeeee utamfaidi 0712/13...aseeeee na ilo chura lake
 
mara nyingi wanavaa na tight ndani unaweza fikiri hawana nguo nyingine,lakini nadhani shida ni ufuska tu,maana me wananikera wanapolichomekea kwenye tight au chup wananikera sana sina jinsi tu>
Hama mjini hamia maporini huko mambo hayo hayapo, wanawake full kufunga mikanga na mijitenge, kimbilia huko ukatulie mjini waachie wenye kuhimili mikiki ya hizo transparent na mibato ndani ya ndembwendembwe
 
Huu mchezo umekithiri sasa wanawake na wadada anavaa dera au gauni laini refu mpaka chini kiasi kwamba mpaka anakua analinyanyua na mkono kidogo lakini cha kushangaza nguo hizo unakuta zinaonyesha kila kitu ndani utaona ramani ya miguu kuanzia juu mpaka chini.
Sijajua lengo ni nini ila kama mnaamua kuvaa nguo ndefu basi ikusitiri na si kuvaa nguo ndefu inayokuonyesha mpaka ndani.
Mbona mnafuatilia vitu visivyo na tija ngoja Magu azidi kubana tutakuwa kama ulaya unajali yako tuu maana hayakuletei ngawira
 
Hama mjini hamia maporini huko mambo hayo hayapo, wanawake full kufunga mikanga na mijitenge, kimbilia huko ukatulie mjini waachie wenye kuhimili mikiki ya hizo transparent na mibato ndani ya ndembwendembwe
Nipo kijijini yamenishinda ya huo upuuzi nipo likuyu huku namtumbo,wavae tu dira bila chupi watajua wenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom