Wadada hii ni fasheni au?

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Nimejiuliza muda mrefu bila jibu naomba wadada nielewesheni. kuna aina ya magauni wadada wanayapenda ni marefu mpaka yanagusa chini kiasi kwamba mvaaji lazima alishikilie au apachike kwenye nguo ya ndani either taiti au yoyote. Nisaidien ni fashion kuvaa oversize au yote yanatengezwa makubwa? Na kama ni fashion hamuoni inakuwa kero kushikilia mwanzo mwisho?
 
waache waendelee kuyachomekea au kuyachota kwa mbele ili waonyeshe maumbile yao ya kukalia
 
Unakusudia dera au gauni la aina gani lina mtandio wake au zenye kama kiflana kwa ndani?
 
ni fashion.
Hawapati shida wa kero kuyashika waakitembea maana dhumuni lake ni hilo.
 
Wakivaa fupi kero ,ndefu ndio hivyo Hivi lini mtaacha akina dada wapumue
 
huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......
 
Wakivaa fupi kero ,ndefu ndio hivyo Hivi lini mtaacha akina dada wapumue

Ili wapumue wajumlishe kipimo cha juu cha lile vazi lefu na cha chini cha lile fupi, halafu wagawanye kwa mbili ndipo watapata kipimo sawia na kisha kupumua!!!!!!!!!!!!
 
huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......
Preta hii ni fashion mwenzio imeigia ya vikofia na si vya kulalia japokuwa waweza kufanyia kazi iyo. Binafsi huwaga sipend tu kushobkea mafashen mapya ila kama leo mjini akina dada wengi kweli walivivaa inaelekea huyu mjasiriamali aliyevishona kapata tenda la nguvu.
 
Last edited by a moderator:
huku kwetu naona wadada kuna vikofia vya kulalia kila mtu kakivaa.....vya brown na vyeusi....
sijajua ni fashion ya lini hii.......

Labda nywele zisishike vumbi au kuvurugika na upepo hasa kwenye pikipiki/ daladala/ bajaji!!
 
Hiyo ni fashion mkuu. sometimes huwa wanapenda kutembea kwa madoido. hivyo kitendo cha kushikilia nguo, ni doido mojawapo.
 
Preta hii ni fashion mwenzio imeigia ya vikofia na si vya kulalia japokuwa waweza kufanyia kazi iyo. Binafsi huwaga sipend tu kushobkea mafashen mapya ila kama leo mjini akina dada wengi kweli walivivaa inaelekea huyu mjasiriamali aliyevishona kapata tenda la nguvu.

atakuwa kala bingo ya kufa mtu......ila mtu akikivaa hawi smart.....naona kama ametoka kulala......
mweee....hiyo inipite....tena ipite kuleeeeee......mbali kabisa.......

atakuwa kala bingo ya kufa mtu......ila mtu akikivaa hawi smart.....naona kama ametoka kulala......
mweee....hiyo inipite....tena ipite kuleeeeee......mbali kabisa.......

preta binafsi mimi sijavipenda kabisa, halafu pia haviko casual yani ukivaa huwez julikana unafanya nini kwa wakati huo manake huulikan ni sokon au ni shambani au ni bandani yaani to me these kofia can not define the purpose
 
Afadhali huyo mdada anayelishikilia, kuna wadada gauni reeffu anavaa, urefu wa gauni unamshinda hadi analichomekea kwenye chupi, halafu anatembea hadi mjini anakwenda akiwa na huo mchomekeo wake, sasa sijui nayo ni staili gani ya kuchomekea gauni kwenye chupi?!
 
Unakusudia dera au gauni la aina gani lina mtandio wake au zenye kama kiflana kwa ndani?

Hii maswali i'm not sure kama atajibu! Ushamkoroga, mi nimepita hapa si kwa kuongelea magauni, mi wewe ndo umenileta!
Ki vipi ?
Kwamba umepotea jamvi kitambo nini mbaya?
 
kama vipi mshauri dada yako aanze kutembea na chupi tu na dada zetu watafuatia ili wasipate tabu za nguo refu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom