Wadada hata Mkinichukia Poa tu

Nianze na kuvuta sigara ni starehe au fasion?"

Kama ni hivyo, starehe au fasion. Imewekwa kwa wanaume tu!?

Tafakari kwa usahihi.
 
Mi nashukuru kwa michango yenu wengi wenu mmeniunga mkono kwa kukiri Tabia za wadada kuvuta sigara zi za kistaarabu ......wadada wenyewe mmekiri hilo hata wakaka huwa hamfurahishwi na Tabia hizo.
Pili wapo waliosema starehe kwao ni sawa lakini mi sipendi zipo starehe nyingi lakini si hiyo ya sigara unayoatarisha maisha yako ndg.
Yupo aliyesema kuwa wazungu wanavuta sasa wao ni wazungu ndio maana hata leo wanalazimisha Africa kutambua haki za mashoga ili tupate misaada.
Hata hivyo yupo aliyesema kuwa wapo wanaume wanavaa hereni hiyo ni tabia mbaya pia sidhani kama mwanaume mwenye akili zake atapenda uzalilishaji wa namna hiyo wa kama kutoga masikio kusuka na mengine.
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom