Wadada hata Mkinichukia Poa tu

Kitu kinaweza kikawa kibaya kwako lakini ni starehe kwa mtu mwingine, kwako kuvuta sigara ni tatizo lakini kufanya ngono zembe isiwe tatizo kwako lkn kwa mtu mwingine ni tatizo hata kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Kuhusu SIGARA NJOO ULAYA UKAJIONEE MWENYEWE, KWANI ASILIMIA 90 YA WANAWAKE WANAVUTA SIGARA, sasa hawa nao wangekuwa wanachukiwa na watu wengi kiasi hicho sijui ingekuwaje.
 
Tunatofautiana, mimi mdada akivuta sigara ananipandisha mzuka. Tena kama hakuna anaeniona mara nambaka.
 
Kitu kinaweza kikawa kibaya kwako lakini ni starehe kwa mtu mwingine, kwako kuvuta sigara ni tatizo lakini kufanya ngono zembe isiwe tatizo kwako lkn kwa mtu mwingine ni tatizo hata kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Kuhusu SIGARA NJOO ULAYA UKAJIONEE MWENYEWE, KWANI ASILIMIA 90 YA WANAWAKE WANAVUTA SIGARA, sasa hawa nao wangekuwa wanachukiwa na watu wengi kiasi hicho sijui ingekuwaje.

ulaya siyo tanzania ndugu
 
Sasa wewe kwani wakivuta wanakupunguzia nini? Kwa hiyo wakaka wakivuta kwako ndio shwari?? Dah.......endelea kuwachukia ila kwa bahati nzuri hakuna limit ya jinsia kwa wavutaji bali kuna tahadhari kwa mtumiaji!!
 
Asanteni kwa mchango wa mawazo.. mimi naichukia sana sigara kwa wote. katika vitu vinavyo kera kwa harufu mbaya mdomoni,, cha kwanza ni bangi na pili ni sigara,, nawapa pole sana wavutaji..
 
Sasa wewe kwani wakivuta wanakupunguzia nini? Kwa hiyo wakaka wakivuta kwako ndio shwari?? Dah.......endelea kuwachukia ila kwa bahati nzuri hakuna limit ya jinsia kwa wavutaji bali kuna tahadhari kwa mtumiaji!!

mwee mi napita na logg off
 
Mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu leo nimeona niseme hili ambalo kwangu huwa linanikera hata kama wewe sikujui sisemi nawaonea bali nimeona niliweke wazi kuwa TABIA YA WANAWAKE KUVUTA SIGARA MIMI HUWA NACHUKIA SANA.
Ukweli ni kwamba hiyo ni starehe Binafsi lakini mimi huwa sipendi kuona mdada anavuta sigara.Wengine Mtasema mbona wanaume wanavuta lakini sikutokea kuchukia hilo.
Nawakilisha kwa kusema hata kama unavuta sigara basi tafuta sehemu ujifiche ukimaliza kuvuta endelea na mambo mengine.Asanteni
kuna member wa hili jukwaa anaitwa Russian Roulette kaweka avator ya mdada kashika mpodo(sigara) sijui ni gamuma(bangi) nikiiangalia hiyo avator yake sipati jibu,sijui anapata au anatumia hii kkitu auni avator tu kaweka. mi binafsi nachukia sana hii tabia. Ila kwa mkoa wa Tabora kumkuta mwanamke anagonga fegi ni kitu cha kawaida sana tena sana kule kwa walima tumbaku . tena fegi inasokotwa kwenye kipande cha gazeti, kule kipande cha gazeti ni dili sana.
 
Zamani nilikuwa nashangaa wadada kuvuta sigara. Ila siku hizi naona kawaida tu kwa kuwa kuna kipindi ofisini kwetu tulikuwa na wdada watatu wanaovuta sigara. Nikazoea na kuona ni kawaida tu!

Ila tu mimi binafsi nikilazimika kuwa na msichana anayevuta sigara, nitamshawishi aache!
 
Ukweli ni kwamba sio kila kitu kitakufurahisha,we ishi maisha yako,vinginevyo utaishia kupata vidonda vya tumbo au kupoteza energy nyingi katika kukasirikia
jambo ambalo hautaweza kulibadilisha.
 
nawashangaa eti hamuwapendi wavuta sigara wakati mnaenda kwa makahaba na vyangudoa ambao wanavuta bangi na mnapiga kazi bila wasiwasi
 
Mdada hata kama kaumbika vipi lakini kama anapuliza sigara basi nakaa naye mbali sana. Wavuta sigara hasa wale chain smokers wana harufu ambayo mimi huwa inanikera sana sitaki hata kukaa nao karibu kama kwenye makulaji, starehe n.k. Samahani kama ukweli wangu utamkwaza yeyote hapa, lakini kuvuta sigara NOMAAA!!!
 
Asanteni kwa mchango wa mawazo.. mimi naichukia sana sigara kwa wote. katika vitu vinavyo kera kwa harufu mbaya mdomoni,, cha kwanza ni bangi na pili ni sigara,, nawapa pole sana wavutaji..[/QUOT

Si uvae tu maski mda utakaokuwa na mpenzi wako jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom