WACHUMI WA KIKOLONI NI BORA KULIKO WA SASA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,902
Wachumi wa kikoloni waliamua kusaidia watu wa vijijini kwa kuanzisha mazao ya biashara kama kahawa,chai na pamba,korosho nk.Pia walileta mazao ya chakula kama Mahindi,maharage nk Mipango yao ya uchumi ni uti wa mgongo wa ajira na kipato kwa watanzania walio wengi toka miaka hiyo hadi hivi leo.Watu wanakula na kuendesha maisha yao kupitia mipango uchumi mahiri ya wachumi wa kikoloni wa miaka hiyo

Wataalamu wetu wa uchumi wa leo wakiwemo Akina Profesa Lipumba hivi cha maana na ambacho ni sustainable wanachoweza kusimama na kusema hiki hapa wakajidai kama hao wachumi wa kikoloni ni kipi? Ni kipi walichokifanya zaidi ya kubwabwaja hotuba zilizojaa maneno magumu ya kiingereza?

yehodaya123@gmail.com
 
Back
Top Bottom