Wachumi toka Vietnam na China: Uchumi wa Tanzania una siasa nyingi kuliko vitendo

“Tukiendelea kudhani kwamba wawekezaji wapo kwa ajili ya kupora mali wakakasirika na kuondoka zao, tutaendelea kuwa masikini

Of all the people sikutegemea angepayuka maneno haya ... nimechoka..
 
My poor prezidaa bana!! Yaani anaongea as if wananchi woooote wanafikiria low kama yeye na sirikali yake! Lol!!!

Ati "......wakakasirika...." zis prezidaa bana!!! Teheteheteteeee............
 
Viongozi wetu wanachoweza saaaana ni mipasho, kuchekacheka na kulialia na kulala hotelini na vimwana (wanaibiwa au wanafia humo)
JK na Pinda hawajui kwa nini sisi ni masikini unategemea nini? Huwezi kutatua tatizo ambalo hujui chanzo chake
Ukisema uchumi haukui watakwambia hata US na EU kuna mdororo wa uchumi hivyo tusishangae
Ukisema hatuna umeme wa uhakika watakwambia hata Kenya na SA kuna mgawo
So tuwape muda kidogo mpaka mwisho wa mwaka huu watakuwa wamefanya upembuzi yakinifu na kuandaa mchakato maalum ili kiliingiza taifa kwenye uchumi thabiti na endelevu kwa kasi ari na nguvu mpya chini ya serikali madhubuti ya mpendwa mtukufu wetu JK..
 
Mkuu, upembuzi yakinifu - till our ship comes in - repeat "UPEMZI YAKINIFU!" IS OUR NATION buzz word - upembuzi yakinifu.
 
“Tukiendelea kudhani kwamba wawekezaji wapo kwa ajili ya kupora mali wakakasirika na kuondoka zao, tutaendelea kuwa masikini

Of all the people sikutegemea angepayuka maneno haya ... nimechoka..

ni mpu*z* gani huyo mkuu aliyepayuka huo utumbo?ila hii mada na ile ya jamaha wa agrosoil walivyorithishwa ardhi kule mpanda kwa 700/= kwa heka zilitakiwa zijadiliwe sana,cha kushangaza zimekosa wachangiaji kabisa,ni hulka yetu watanzania,hapa ingekua habari inayomuhusu mtu na haina tija kwa taifa ungeona vile ambavyo wingi wa watu ktk kuchangia!tunapenda kujadili zaid vile visivyo vya msingi na vya msingi tunavipuuzia
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom