LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 574
Nimekuelewa vizuri sana mama and let me reserve you for future use.
mmmmmmmmmmh, ushindwe.
Nimekuelewa vizuri sana mama and let me reserve you for future use.
Kwa maana hiyo nikae tu nisubiri bwana anidondoshee mke mwema?
mmmmmmmmmmh, ushindwe.
Nishindwe vipi mama waweza kuta mie ndo mume mwema toka kwa bwana.
reserve kweli,
hapana, acha tu.
Kama huwezi kuwabadilisha wawe kama unavyotaka, basi tafuta wa NNE.
Inanibidi kuchagua wa nyumbani sasa hawa naona wamenishinda.
Kwa hiyo wew wala huna mpango wa kumuomba Mungu Paka M,
Angalia usije ukaruka mkojo ukakanyaga mavi.