Wachina watoa kichapo

Kiluvya2011

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
215
31
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news

Mwenye habari zaidi atujuzi.
 
Hii inaonekana jinsi jeshi/jesi letu la porisi lilivyo feki mpaka wageni wanaamua kuwavamia na kutoa mkong'oto. Bubu akizidiwa hutaka kusema. Nadhani imefika mahali wachina wakashindwa kuvumilia!
 
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking newsMwenye habari zaidi atujuzi.
Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?
 
Wangenikuta mimi wangekoma kuzaliwa.
avatar45799_1.gif
 
ina maana wamevamia kituo na kutoa kichapo kwa polisi na polisi wameshindwa kutumia silaha kujilinda? maana najua kwa vitambi vya polisi wetu na karate za wachina lazima ngumi polisi wapigwe.
 
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news

Mwenye habari zaidi atujuzi.

Hawa wafanyakazi imekuwaje wakawa hoi ilhali kichapo kilitolewa kwa Askari Polisi?
Naomba ufafanuzi hapo..
 
wachina nadhani walidaiwa rushwa na polisi ndipo walipoona ujinga huu ngoja tuwafundishe adabu nyama hawa corrupt njaguzzzzz
 
ila hawa wachina wanaojenga barabara ya babati - singida wamezidi ubabe na kujichikulia sheria mkononi wanapiga wananchi, wafanyakazi wao, yaani ni wanyanyasaji na wazarilishaji ili polisi nao inawagwaya wana kesi kibao za kupiga watu ila wanapeta tu sijui nani yuko behind them. No wonder dereva mmoja wa katapila alimshushia kijiko mchina na kumuua hapo hapo afu yeye akasepa bila kubughudhiwa na wafanyikazi wenzake
 
Popote alipo nampa thanx mzalendo huyoooo......
ila hawa wachina wanaojenga barabara ya babati - singida wamezidi ubabe na kujichikulia sheria mkononi wanapiga wananchi, wafanyakazi wao, yaani ni wanyanyasaji na wazarilishaji ili polisi nao inawagwaya wana kesi kibao za kupiga watu ila wanapeta tu sijui nani yuko behind them. No wonder dereva mmoja wa katapila alimshushia kijiko mchina na kumuua hapo hapo afu yeye akasepa bila kubughudhiwa na wafanyikazi wenzake
 
safi sana wachina kwa kuwafundisha adabu vijana wa kova wanauwaraiya psipo sababu mtu ukidai haki yako unapigwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom