Wachina watinga dar

....dah hii style naifagilia sana walah. Rosie ole wako uingie kwenye kumi na nane zangu utakuna nazi mpaka ukamuliwe tui la nazi kuanzia la kwanza mpaka la saba.

msaniii kuwa makin baba ohh ohh nsije nkakukunisha we nazi.............shauriroooooo!!!!!!!!!
mi ntaingia kwenye 16 then utatafuta kipeuo cha pili afu utadivide by 2 then by 1 afu utaminize na 0 afu then ....!!!!!!
utakuna buyu babu nazi ina mashart nawewe huyawez !!!!!!!!!!
 
Mbuzi ya kukunia nnae ilete kwangu nazi bibie niikuneeeeeeee:biggrin1::biggrin1:
raha ya naz ukune mwenyewe babu ukikuniwa na mtu anaweza akakuna mabonge mabonge so shuruti mi mwenyewe nkae chn kwa heshma na utulivu wake nshike nazi taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu niikune ipate toka laini sampuli ya beb johnson powder!!!!!!!!
 
Njoo nkupe kikunio
 
Mashallah!!na haswa ile mikao yenu mnayokaa pindi mnakuna nazi, mi mnanichoshaga kabisa!habari lako we binti??????
 
habari yangu ni nzur bana!
wapenda mikao ya kukunia naz ennh???
mmh una hattttaaaaari weye!!!
 
Back
Top Bottom