Wachina walitambuaje kuwa Tanzania/Afrika ni soko kubwa la dawa ya kuongeza makalio?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ndugu zangu,

Mara kadhaa imejitokeza mijadala humu jamvini kuhusu dawa za kichina za kuongeza au kupunguza ukubwa wa viungo mbalimbali vya miili yetu. Lakini mjadala mkubwa umekuwa unahusu dawa ya kuongeza makalio na hips ambayo imechangamkiwa sana na wanawake wengi hapa nchini. Hivi sasa, ukitembelea miji mikubwa kama Dar, Mwz, Ars na Mby limekuwa ni jambo la kawaida kuonana na asilimia kubwa ya wanawake wakiwa 'wamefungasha' nyuma tena 'mgizo' ulioshehena haswa huku wakiwa wamevaa suruali.

Ninachojiuliza ni maswali yafuatayo:

(i) Wachina walijuaje kuwa dawa ya kuongeza makalio itakuwa na soko kubwa Tanzania/Afrika? Je, walifanya utafiti kwanza kwa kuuliza wanawake/wanaume?

(ii) Kwa nini wenyewe wachina hawatumii dawa hizo za kuongeza makalio na hips? Je, ni kwa sababu wanaogopa madhara yake au ni kwa sababu makalio makubwa hayana soko kubwa huko kwao?

(iii) Hivi kwani makalio makubwa yana matumizi gani ya maana katika suala zima la mapenzi? Je, kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa na utoshelezi wa tendo la ndoa? Wengine wanasema ni maarufu kwa matumizi ya 'kinyume na maumbile'. Je, kuna ukweli gani kuhusu hili?

Nadhani utakuwa mjadala mzuri kwa wikiendi hii. Karibuni!
 
Tatizo wanawake wengi wanatumia mchina kwanza hawajimini'pili ni upofu fulani wa kushauriana ujinga'tatu ni kupata masoko haraka maybe ndoa za haraka'nyumba ndogo'nne jamii yetu nayo haina maadili kila siku mitaani watu wanageuza sura kucheki ****** hiyo inakuwa kama pulling factor fulani'
 
Of course walifanya research zao wakabaini the average Joe ana IQ ya kuku huku kwetu Afrika.
 
Ninafikiri tusi jump into conclusion tunahitaji research kidogo, je tunajua ni asilimia ngapi ya hao wadada/wamama wenye makalio makubwa ni product ya mchina? wengine ni maumbile asilia, tutakua hatuwatendei haki hawa wenye maumbo asilia hata kama watakuwa wanawasilisha sehemu ndogo, kuhusu matumizi yake nafikiri ni mfuto tu, sidhani kama nia yao ni kuya mis use( kufanya kinyume na maumbile)
 
Mimi ndio leo nasikia kuwa kuna dawa ya aina hiyo...mmmmmhhhh I know green world ina madawa mengi but they are nutritional supplements against diseases na kuhusu weight, most Chinese products ni za weight reduction sio addition...tena how can you add only one part of the body? Ok let us try to be more objective than being subjective....
 
Weee! kuna watu huwaelezi mbeleya makalio makubwa, nafikiri wachina wamejua tulivyo malimbukeni na vitu fake
 
Kabla sijajibu hii hoja, niliamua kufanya ka-research kadogo maeneo ya kariakoo kwenye viduka vya wachina kwa sababu nilikuwa siamini kama kweli dawa zipo. Mchina mmoja tena anajua kiswahili vizuri sana aliniambia kuwa ni kweli ni dawa ipo isipokuwa inauzwa kwa siri kidogo na wateja wake ni wengi. Kwa hiyo haipatikani kirahisi. Nilipomwambia naihitaji sana akaniomba nimtafute kesho. Anasema ndani ya miezi mitatu ya matumizi ya hiyo dawa, mzigo unakuwa umekaa sawia na mzee nitaanza kupata mavituzi! Nilicheka kicheko cha furaha lakini kisichotoka moyoni. Nilipomwuliza masharti yake, akaniambia muhimu ni kuzingatia vipimo, vinginevyo, mamsapu anaweza akafutuka mpaka ikawa karaha kwake. Anasema wanawake wengine wanazidisha dozi ndiyo maana wanakuwa na makalio na hips kubwa kupita kiasi.

Kwa hiyo ndugu zangu dawa ya kuongeza makalio ipo. Siyo utani jamani!
 
kwa kweli ni swali la msingi,manake kama makalio wao tumewazidi 10times,boobs ndo usiseme.sijui walijuaje kuwa tuna ujinga mkubwa hivi!
 
kuna rafiki yangu alishawahi kusema mumewe akimuambia una makalio madogo atamjibu 'makalio yako makubwa mno for a man ndo maana yangu unayaona madogo,so kapunguze yako' kama wanawake wote tungekuwa na mtazamo huo,wanaume wanaotutia kichaa na comments zao wangeacha na dada zetu wenye akili chache wangepona.
Weee! kuna watu huwaelezi mbeleya makalio makubwa, nafikiri wachina wamejua tulivyo malimbukeni na vitu fake
 
Hivi dunia ya sasa hivi kuna watu bado wanalimbuka na hii kitu? ni lazima yawe makubwa? au ndo kila mtu anapenda kivyake? nashukuru sijawahi ambiwa ina makalio madogo au mabaya nafikiri anaridhika nilivyo. lol
 
Ndugu zangu,

Ninachojiuliza ni maswali yafuatayo:

(i) Wachina walijuaje kuwa dawa ya kuongeza makalio itakuwa na soko kubwa Tanzania/Afrika? Je, walifanya utafiti kwanza kwa kuuliza wanawake/wanaume?

(ii) Kwa nini wenyewe wachina hawatumii dawa hizo za kuongeza makalio na hips? Je, ni kwa sababu wanaogopa madhara yake au ni kwa sababu makalio makubwa hayana soko kubwa huko kwao?

(iii) Hivi kwani makalio makubwa yana matumizi gani ya maana katika suala zima la mapenzi? Je, kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa na utoshelezi wa tendo la ndoa? Wengine wanasema ni maarufu kwa matumizi ya 'kinyume na maumbile'. Je, kuna ukweli gani kuhusu hili?

  1. Swali la kwanza - Waliuliza wanaume wakapata jibu
  2. Swali la pili - Wanawake wote duniani lengo la kuonekana mzuri na wa mvuto tokana na jamii ulotoka ziko sawa ... My assumption nikua guys wa kichina they don't like wanawake walofungasha (maybe tokana na maumbo yao - mana thru rumors...) ndo mana unakuta kila society idadi kubwa ya wanawake warembo hua design (mnene/mwembamba etc) hua according to what men in that society like/prefer therefore it means TZ Guys wengi wanashoboka na makalio.
  3. Swali la tatu -Naamini wakaka watalijibu ipasavyo..... Ila kwa mwanamke unaongeza idadi ya watu kukutokea huku idadi kubwa ikitaka kupita tu katika makazi yako lakini si kuishi hapo...
 
Kwa nini wanaume hawawi wakweli. Ngoja miye nijitoe kimasomaso kwa kusema ukweli. Kule nyuma wajameni 'joto' ni balaaa! Kwa mwanaume mgeni anaweza akadhani anaungua kabisa. Nimewahi simuliwa na jamaa yangu mmoja kuwa mwanaume mmoja alilia kabisa kwa kuzidiwa na utamu.
 
Mmhhh, hii kali!
 
Wanaume msioonja hayo madubwana jamani msijaribu. Ni rahisi kuacha sigara lakini siyo makalio.
 
Back
Top Bottom