Hahahahahaha! nimecheka sana ni kama mimi jana nikaona 'Natoa' kwenye MMU nikakimbia haraka nikidhani anatoa kitumbua lol!OOh sorry, nimesoma fasta heading nikajua "matiti" ya square badala ya mviringo, kumbe ni matikiti....
ila kwa wachina hata matiti ya square pengine wanayo.
Yaani sisi mitanzania kila kitu ni kuponda tu,wachina sijui hii,sijui feki,wewe na mitanzania mingine mmetengeneza nini cha maanna mpaka sasa hivi?try to appreciate what others do.Na kwa taarifa yenu,Bidhaa feki za kichina zipo africa tu,kwa sababu za umaskini wenu.Kwanza mnatakiwa mwashukuru kwamba wanawatengenze hizo bidhaa,kama wasingekuwa hao,hizo brand na vitu ungezikuwa unasikia tu redioni.Nikuambie pia kwamba China ina vitu vya quality hata kupita hiyo marekani mnayojivuniia.Kama hamjui,vitu vyote ambavyo mmarekani anatengeneza part zote zina tenegenzwa China.Mfano 1 ni vitu vya kampuni ya APPLE.Kama mna hela,tembeeni China na mujione,siyo kusema sema tu.Kama zao ni feki,mbona umezinunua?Na kama Zao feki,basi mbona umeshindwa kutengeneza ya kwako,angalau ka toothpick?
Mitanzania ndivyo tulivyo,kulalamika kama mtoto,lakini uwezo ni ZERO period.
Nasikia hawa jamaa wameshaanza na tecknolia nyingine sasa hivi wanatengeza mchele!
Hahahahahaha! nimecheka sana ni kama mimi jana nikaona 'Natoa' kwenye MMU nikakimbia haraka nikidhani anatoa kitumbua lol!
Haya si wachinas ni Japan yalipoanzia na yaliletwa humu JF toka 2008. Nothing special yanawekewa hard box na yanafata shape wakati yanakuwa.
Weye umejiunga JF MAY 2011 wajuwaje mambo ya 2008? Khaa, watu huwa wanajisahau kiraiiiiissssssi