Wachina waja na matikiti ya square badala ya Mviringo

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Tumezoea kuona matikiti ya mviringo..sasa wachina wameamua kuja na matikiti ya square...
 
attachment.php

Everything is possible in China....
 
Famba,hayajapita shambani.jamaa wanatengeneza kila kitu feki,mayai mchele nazi maembe,ngogwe,
walichonacho orijino ni nyoka mijusi,kenge,mende,vyura utapata orijino huko
 
Famba,hayajapita shambani.jamaa wanatengeneza kila kitu feki,mayai mchele nazi maembe,ngogwe,
walichonacho orijino ni nyoka mijusi,kenge,mende,vyura utapata orijino huko

Heee, ngogwe? Hili neno sjui nilishaliskia wapi!!! Itakuwa pande za ziwani.
 
Ni ya kawaida. Wakati tikiti lipo bado changa wanalivisha box alafu linakua humo ndani na kinakaa na shape hiyo.
Lengo la kufanya hivo ni storage. Kama truck lilikua na uwezo wa kubeba tikiti 500 za sphere sasa litabeba 1000 za cubic sababu ni rahisi kuzipanga vizuri.[/QUO

mmmmmmhhhhhhhh!!! hii science imechakachuliwa!
 
Haya si wachinas ni Japan yalipoanzia na yaliletwa humu JF toka 2008. Nothing special yanawekewa hard box na yanafata shape wakati yanakuwa.
 
Ni ya kawaida. Wakati tikiti lipo bado changa wanalivisha box alafu linakua humo ndani na kinakaa na shape hiyo.
Lengo la kufanya hivo ni storage. Kama truck lilikua na uwezo wa kubeba tikiti 500 za sphere sasa litabeba 1000 za cubic sababu ni rahisi kuzipanga vizuri.

Basi huu ni ubunifu wa ki-agriculture wa hali ya juu. Ina maana wameifanya nature iwe in their favour na hawajikalia tu na kusema hii ndivyo ilivyo hatuna la kufanya bana. Nawapa credit nyingi tu
 
Yaani sisi mitanzania kila kitu ni kuponda tu,wachina sijui hii,sijui feki,wewe na mitanzania mingine mmetengeneza nini cha maanna mpaka sasa hivi?try to appreciate what others do.Na kwa taarifa yenu,Bidhaa feki za kichina zipo africa tu,kwa sababu za umaskini wenu.Kwanza mnatakiwa mwashukuru kwamba wanawatengenze hizo bidhaa,kama wasingekuwa hao,hizo brand na vitu ungezikuwa unasikia tu redioni.Nikuambie pia kwamba China ina vitu vya quality hata kupita hiyo marekani mnayojivuniia.Kama hamjui,vitu vyote ambavyo mmarekani anatengeneza part zote zina tenegenzwa China.Mfano 1 ni vitu vya kampuni ya APPLE.Kama mna hela,tembeeni China na mujione,siyo kusema sema tu.Kama zao ni feki,mbona umezinunua?Na kama Zao feki,basi mbona umeshindwa kutengeneza ya kwako,angalau ka toothpick?
Mitanzania ndivyo tulivyo,kulalamika kama mtoto,lakini uwezo ni ZERO period.
 
Nasikia hawa jamaa wameshaanza na tecknolia nyingine sasa hivi wanatengeza mchele!
 
Pia wana apple zinazoweza kukaa mezani, nje ya friji kwa miezi sita bila kuoza/kuharibika.
 
Ni ya kawaida. Wakati tikiti lipo bado changa wanalivisha box alafu linakua humo ndani na kinakaa na shape hiyo.
Lengo la kufanya hivo ni storage. Kama truck lilikua na uwezo wa kubeba tikiti 500 za sphere sasa litabeba 1000 za cubic sababu ni rahisi kuzipanga vizuri.

Asante kwa hii insight. Nilikuwa nimewaza hawa wachina wamekosa kazi, kumbe walikuwa na maana yao!
 
Back
Top Bottom