Wachina waanza kuoa Dada zetu

chinese-man-with-black-african-women-09.jpg
 
Kuna tetesi kwamba wachina kabla ya kutoka kwao huwa wanachomwa sindano ya kuwafanya kukosa hisia za mapenzi kuepusha kuzaliana ovyo. Je hizo dawa zimeisha nguvu mwilini?

..hilo sina uhakika, ninachojua ni kuwa hawa Wachina kwao ni mwiko kurudi na mtoto aliychanganya damu na non-chinese hasa blacks. Matokeo yake mtoto atakayepatikana katika ndoa hizo basi hataweza kutambuliwa/kukubalika kuwa ni mchina atabaki kuwa mtanzania tu! Hii ilitokea huko Kiwira Coal Mine (Tukuyu), wachina walizaa sana na dada wa Kinyakyusa wakaishia kulipa tu vifedha kidogo ili kuzima soo, lakini wakakataa katakata kuondoka na watoto wao muda wa mikataba ya wachina ulipoisha. Ushingae leo hii ukikuta kijana mwenye damu ya Kichina akijitambulisha kuwa yeye ni Mnyakyusa na anakichapa kilugha kwa saaaaana....mughonile ngada mwe!
 
Sıo kwelı kwamba Chına kunarestrıctıon ya kuchanganya damu na Mataıfa/Rangı mbalımbalı,
Bınafsı nınajamaa yangu mpaka sahz yupo Chına Hongkong anasomea masters ya uchumı kazaa na bıntı wa kıchına na anaıshı nae kama mke na Wachına wamempa Uraıa.
So jembe langu la Kınyakyusa jeusı tıı tena fupı km nyundo lımefyatua jembe jıngıne mıxer Mchına na Mnyakı na mshkaj hapatı harrasment yoyote kutoka kwa Serıkalı ya Uchına.
 
..hilo sina uhakika, ninachojua ni kuwa hawa wachina kwao ni mwiko kurudi na mtoto aliychanganya damu na non-chinese hasa blacks. Matokeo yake mtoto atakayepatikana katika ndoa hizo basi hataweza kutambuliwa/kukubalika kuwa ni mchina atabaki kuwa mtanzania tu! Hii ilitokea huko kiwira coal mine (tukuyu), wachina walizaa sana na dada wa kinyakyusa wakaishia kulipa tu vifedha kidogo ili kuzima soo, lakini wakakataa katakata kuondoka na watoto wao muda wa mikataba ya wachina ulipoisha. Ushingae leo hii ukikuta kijana mwenye damu ya kichina akijitambulisha kuwa yeye ni mnyakyusa na anakichapa kilugha kwa saaaaana....mughonile ngada mwe!
mmh! Sasa huyu mtoto wangu mi itakuaje??
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom