Wachina Sinza Wanarefusha Mifupa

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Kama huridhiki na urefu wa kimo chako, nenda Sinza Makaburini, nyuma ya Kilimanjaro Bar kuna zahanati mpya ya wachina wanarefusha mifupa.
 
Hii itawafaa wanaotaka kuwa kama "Hashim Thabit"
 
Dah hawa Wachina ni noma..hebu niulizie kama wanarefusha nywele..
 
walaaahi wachina wamelaaniwa, kama wana dawa za kurefusha watu mbona na wao wasijirefushe wamfikie idol wao Yao Ming?mbona wasiongeze size za nanihiu zao , ma hips etc?
Jibu ni kuwa bcz wanajua dawa zote hizo zina side effect mbaya sana afta sam tym.

My advice..ridhika na kile ulichopewa na Mungu wako...
 
Hii ni mpya! Je, zahanati hiyo imesajiliwa pamoja na dawa zake kuthibitishwa na Mamlaka husika? Au nao wameoteshwa!
 
hii kitu ni long process maana wanafanya kama wanakata mfupa na unawekewa nondo niliona london hii kitu af unatembelea magongo yan kwa mazingira ya Tanzania sidhani ni uhuni tu ni very complicated procedure
 
Hawa wachina watatumaliza; walianza makalio na sasa urefu; muda si mrefu utasikia na dawa za nanihiii!!!!
 
walaaahi wachina wamelaaniwa, kama wana dawa za kurefusha watu mbona na wao wasijirefushe wamfikie idol wao Yao Ming?mbona wasiongeze size za nanihiu zao , ma hips etc?
Jibu ni kuwa bcz wanajua dawa zote hizo zina side effect mbaya sana afta sam tym.

My advice..ridhika na kile ulichopewa na Mungu wako...

Nimekukubali mtaalam.
 
Kama huridhiki na urefu wa kimo chako, nenda Sinza Makaburini, nyuma ya Kilimanjaro Bar kuna zahanati mpya ya wachina wanarefusha mifupa.

Promoto la ukweli,umeamua kuinadi biashara yako?
 
Back
Top Bottom