wachina ni machinga na wapiga rangi majumba na wajenzi wazawa tufanyaje?

Halafu mnalalamika Tanzania hakuna fursa, wenzenu wanatoka China wanazifata mpaka huku.
 
Kweli hii kiboko wazawa tufanyaje? Let's chase them out liwalo na liwe

Sisi wazawa ni wavivu, hatutimizi ahadi, na wezi pia[kwani hata mkipatana bei ya kazi bado anataka kukuibia}
Kuna msema usemao 'nature haitaki vacuum' hivyo basi hawa jamaa wanafill the vacuum in terms of workmanship, efficienty and time management. WACHA WAJE KWANI UPUUZI WETU NDIYO UNAOSABABISHA WAPATE KAZI HIZO.
SISI TWAPIGA DOMO WENZETU WALA
 
Kwa kweli tunahitaji 'wachina' waje watuamshe kwenye usingizi wa pono, tumekuwa watu wa kulalamika tuu
 
Back
Top Bottom