Wachimbaji wa visima virefu

Dijina40

JF-Expert Member
May 17, 2010
727
242
Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada.
 
Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada.

Waone DDCA, Drilling and Dam Construction Agency wapo karibu na lango la kuingia UDSM kutokea Ubungo - Sijui wewe upo wapi, maana office zao ziko pia mikoani
 
Asante sana!!! Nafanya kazi karibu na hapo. Ukiwa huhitaji kitu hata mabango utasoma na usiyaone. Nashukuru.
 
Je hapa mnamaanisha kuchimba ili kupata underground water?
Nilianzisha thread mpya kabla sijaiona hii. Je kuna anayejua kama wana ofisi Moshi.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom