Wachezaji waomba msamaha

Siasa tu hizi. Kwa nini na wachezaji wasisikilizwe? Je wachezaji wengine mbali ya hawa walio na tough na kocha wana comment gani? mnashinda kupiga kelele hapa bila kusikia side ya pili na kuipa nafasi ya kusikilizwa utetezi wao!
Tangu lini mbrazil pamoja na mafanikio ya nchi yao katika soka wakafundisha timu ya taifa lolote lingine ikawa na mafanikio?sikumbuki hata taifa moja. kama lipo basi nihabarisheni.
Ni bora aondoke tulete tena kocha mwingine. Huyu tayari ameonyesha mafanikio hafifu na nategemea kuona mafanikio hafifu zaidi akiendelea kuwa na timu ya taifa.
 
Huyo Chuji hajui mpira wote tuwasikilize wanini? Na jana atasema nini kuhusu kiwango kibovu alichoonyesha waliocheza na waarabu kama vile hakuwemo uwanjani na hapo atamlaumu Maximo? Hawezi mpira na mwacheni Maximo afanye kazi yake msimvunje moyo. Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.
 
Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.

Kuna sababu mia moja kidogo kuelezea hilo, Ndolanga, serious commitment toka kwa serikali na wadau mbalimbali, fedha na udhamini etc. ni baadhi tu. Pia ukumbuke ya kuwa kati ya mwaka 1994-1997, soka letu lilikuwa juu sana hata katika hiyo misimamo ya FIFA kushinda lilivyowahi kuwa toka Maximo aingie.
 
Wadau tusifunge macho kama hawa WATANZANIA wenzetu hatuwajui. Mchezaji unaweza kuwa celebrity mtaani lakini uwanjani ni kazini, ahsante Sahiba kwa kunikumbusha hilo. Hawa wachezaji wamekosea na wanaendelea kudestroy future yao. Mtoto anaweza kufanana na mzazi ila si mzazi kufanana na mwanae. Tuache kukumbatia huu uozo wa Bongo Flava ndani ya soccer yetu changa.
 
Huyo Chuji hajui mpira wote tuwasikilize wanini? Na jana atasema nini kuhusu kiwango kibovu alichoonyesha waliocheza na waarabu kama vile hakuwemo uwanjani na hapo atamlaumu Maximo? Hawezi mpira na mwacheni Maximo afanye kazi yake msimvunje moyo. Mbona kabla ya Maximo hamkupanda KWENYE FIFA ranking.

Kama hana kitu kwa nini alimpeleka Abijan?
Mambo ya uarabuni ni kawaida tu maana kufungwa kwetu ni jadi la si Chuji pekee anayecheza uwanjani. Bila Chuji Abijan walipigwa sasa hapo tutasemaje?
Suala si kupigwa uwanjani bali swali ni je wasijitetee?
Kalagabaho. Tanzania maneno mingi mingi mpira mnaojivunia kapandisha Max wino siuoni! Utaulinganisha na wa wapi popote afrika mashariki au kusini mwa afrika wewe? Unaleta siasa za wakaya Kikwete katika mpira siyo?
Ndivyo mlivyoletasiasa katika elimu mkaimaliza sasa mnajielekeza katika michezoa?
 
Hapa tukubali kubadilika tuache kufanya mambo kwa mazoea,wenzetu tulipo sisi wanalipwa kulingana na mchango wako katika timu, Huwezi kuwa na mchango mzuri katika timu kama huna nidhamu. Lazima wachezaji wetu waone kuwa wapo kazini kama wafanyakazi wengine,hivyo hawana budi kufuata kanuni na taratibu za michezo pamoja na mafunzo ya mwalimu. Tunataka maendeleo katika soka,ila pasipo kubadili mitazamo ya wachezaji wetu,hatuwezi kuendelea kabisa.

Walio wengi walizoea kubembelezwa kwa sababu labda alifunga last tyme ,lakini mambo hayaendi hivyo ndugu yangu,wenzetu akifunga mara moja anatamani afunge na mechi zijazo,na anafanikiwa kutokana na nidhamu na kufuta mafunzo ya mwalimu wao. Kubali kubadilika,its for your own good.
 
Back
Top Bottom