Wachezaji Waliopata 'Standing Ovation' Kutoka kwa Mashabiki wa Wapinzani Wao

Ruud van Goals alipata more than standing ovation kwny game kati Man U vs A.Villa,pale washabiki hadi wa Villa walipoingia uwanjani kumkumbatia na kushangilia bonge la goli alilotupia Ruud dakika za mwisho pale Villa park. Sikumbuki final score ilikuaje,ila ilikua na goal difference ya 1.
 
Back
Top Bottom