Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,935
- 6,844
Haya ndiyo matatizo ya watu kama nyinyi msiojua maana ya FREEDOM. Baada ya kuwa na point, unaanza kutukana. Haya ndiyo matatizo ya kuwa na WTZ EXTREMISTS kama nyinyi.
Hapa Abdulhakim amekuwaje extremist? Yeye anaepinga kuingiza dini kila mahali? Huyu anayetetea haki ya mtu asiye muislamu kumkosoa muislamu? Nyinyi mnaopinga ndio mnaojua maana ya FREEDOM? Iko kazi, akutukanae kweli hakuchagulii tusi. Kwenye hili Abdulhakim ndiye voice of reason na anastahili kupongezwa kwa msimamo wake.
Amandla......