Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

Wewe ni MPUNGA,
Kazi yako kuoteshwa tena sehemu ya maji maji.
19199a8baebcfe05590a78503972db07.jpg
 
We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?
isije ikawa wewe ndo mshamba, maana kipindi kinaitwa Churchil Show na mwenye kipindi anaitwa Churchil naye anafanya comedy
 
We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?
Hivi yule Host wa Churchill anaitwa nani? Coz na yeye yumo
 
Back
Top Bottom