Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?


Na muanzisha mada katuwekea ORIGINAL COMEDY huyu ni msanii wa nchi gani?.
 
Labda degree za Sinon college, polytechnic college au MUCCOBS kama hata hujui Nigeria ipo West Africa kanjanja wewe
Mbona jamaa ali declare kuwa alidhani ni Africa nzima...! Sasa huoni kwa sentensi hiyo inaonyesha jamaa ameelewa.

Sasa wewe unaona dili kutukana watu ovyo ovyo.
Mkuu mi nakuomba sana tuwe wavumilivu dhidi ya post za watu wangine.
 
Erick Omondi mtoe hapo. He is overrated! Bora ungemuweka hata Pablo wa Uganda.
Sidhani.. kama ni kuchekesha sio rahisi kumtoa kwenye top 4 hapo.. labda kwa vigezo vingine
 
Mpamire mbona hata mimi simjui yukoje mi naona hapo kuna upendeleo majuto umemtoa kwa nini

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
Mpamire mbona hata mimi simjui yukoje mi naona hapo kuna upendeleo majuto umemtoa kwa nini

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
acha fikra za kindezi wewe. unamlinganisha teacher mpamire na majuto?
 
tafiti nyingine ni za kuangalia tu yaani list yako unamkosa majuto?utakua hamnazo wewe.
 
1.Majuto
2.Majuto
3.Majuto
4.Mpoki
Wewe una tatizo la kuto kuona nje.. umejifungia na majuto ukidhani kila mtu ni majuto. stori za kuchekesha zinatofautiana. stori za majuto zina watu wake.. Majuto sikatai kwa tz anajitahidi lakini bado sana . Tunapo zunvumzia comedy ni zaidi ya maigizo.
 
Back
Top Bottom