Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?
Hiii listi sijui kaipata wapi labda ya ma mc sio wachekeshaji
 
Labda degree za Sinon college, polytechnic college au MUCCOBS kama hata hujui Nigeria ipo West Africa kanjanja wewe
Sawa mkuu nmekunyoshea mikono..Hint:Hivyo vyuo sijawai hatakufikilia kufundisha achia mbali kusoma
 
Hivi mizengwe mnawaonaga lakini? Hata wakina joti wanaweza wakakalishwa
 
Kuchekesha kwa aina gani?
kuigiza?
au stand up?

kwa Stand up ...hawa kwangu ndo best for now
sijui yupo moja yupi mbili
but wote nawakubali

1.Mpoki
2.Mc Pilipili
3.Mc pepe
4.Churchil
5.Omondi...
Jaribu kumuangalia huu dada "Anna kansiime"
 
We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?
Yule muongozaji(Daniel Ndambuki)..Anaitwa churchill pia..Kipindi kinaitwa Churchill show
weka yako
hujapewa kibarua cha kukosoa list za wengine....
 
Hawa ndio wasanii bora kwa uchekeshaji africa mashariki (top 4)
1. Original Comedy
2.Omondi eric
3. Teacher Mpamire
4. Anne Kansime

Erick Omondi mtoe hapo. He is overrated! Bora ungemuweka hata Pablo wa Uganda.
 
Kuchekesha kwa aina gani?
kuigiza?
au stand up?

kwa Stand up ...hawa kwangu ndo best for now
sijui yupo moja yupi mbili
but wote nawakubali

1.Mpoki
2.Mc Pilipili
3.Mc pepe
4.Churchil
5.Omondi...
Mkuu naona stand up comedy kwa Tanzania bado kenya wako vizuri sana, hasa show ya churchhill
 
1. Jemutai
2. Sleepy David
3. Majuto
4. Kansime
5. Mc Jessy
6. Erick Omomd
7. Karis
8. Profesa Hamo
9. Fred Omomd
10. Owago Onyiro
Jemutai yuko vizuri huwa natamani Tanzania tupate stand up comedy nyingi na nzuriii kama Kenya
 
Back
Top Bottom