MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
Propaganda hapo ndio ipi?Acha propaganda za kijinga.
hapo kwenye red ni muhimu sana mkuu, aliyeorganize kitendo hichi na hata kama ni kundi la watu fulani ni hatari kwa nchi zaidi ya tulivyodhania awali!Ni kwa nini wamelala kiasi hicho? Utafiti unatakiwa hapa jamani!
Ni kwa nini wamelala kiasi hicho? Utafiti unatakiwa hapa jamani!
Kwanza walichukuliwa na Tambwew hiza wakihaidiwa kuna 10000/na chakula wakakaa wanasubiria mmsosi mpaka saa 9 hawajala!1unategemea nini kama sikulala??