Wachainizi wachakachu NDOMU

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
MAHAKAMA Kuu ya Pretoria,
Afrika Kusini, imesimamisha
zabuni ya serikali ya kununua
kondomu za kike milioni 11
kutoka China, baada ya
kugundulika ni ndogo na
haziwatoshi watumiaji. Hawajui kama thithi ma ebony zetu ni kubwa.
 
Jamani tuwe makini kidogo na vichwa vya thread zetu, mimi nilifikiri labda condom hizo zimetoka chini ya kiwango na hivyo kuathiri watumiaji kumbe ni ndogo tu! Hivi order hiyo angepewa Muingereza ungesemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom