wachagga bana

moshial

Member
Mar 20, 2012
39
2
Mchagga alipata dem wa ki pwan kwenda guest
dem kavua,shanga tele!chagga yesu na maria
rozar zote hiz umeiba parokia gan?
 
Kwa nn usingesema "jamaa mmoja"au "wewe mwenyewe"?kuliko kusema et mchaga m1,ila tambua ya kwamba wachaga hatunaga tabia ya kuwachukukua mademu wa aina hiyo (wanaovaa shanga),ki2 kingine naona leo bora nipigwe BAN 7bu yako "**** WE"!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
ze mangi,naona hujui maana ya utani unajua kwanin hichi kipengele kikaandikwa Jokes+Utan?hata mim ni mchagga najuaga hiz hamna lkn ni utan au wew unatakaje?
 
tatizo ni kwamba.....inabore sasa maana hutaona makabila mengine yakianikwa hapa na hata ikiwa hivyo ni mara chache sana,lakini kwa wachaga inakuwa ni hao hao kila mara,why?
 
Ka vipi usisome jokes we shinda zako dukani tu
 
Back
Top Bottom