wachaga wa Uru

Afu uru sio kishumundu tu!kuna uru kishumundu,uru msuni,uru njari,uru mrawi,uru mawela,uru shimbwe,uru kitandu na nyingine kibao! Kwahiyo aliyeanzisha hii topic alijue hilo.

hearsay inamsumbua haijuhi hata Uru yenyewe inapoanzia
 
Afu kwa mtu aliyewahi kufika uru atakubaliana na mimi kuwa ni gud place to stay.kuanzia mazingira mpaka hali ya hewa!ambae hapakubali kwao na anaogopa kusema kuwa yeye ni mu~uru huyo ana yake!karibuni uru jamani!ma~lawyer wengi wazuri wanatokea uru!mi nikiwa m1 wao.
 
Afu uru sio kishumundu tu!kuna uru kishumundu,uru msuni,uru njari,uru mrawi,uru mawela,uru shimbwe,uru kitandu na nyingine kibao! Kwahiyo aliyeanzisha hii topic alijue hilo.

uru mamboleo

WA-URU OYEEEEEE....
PUNGUZENI UCHAWIIIIIII
 
mimi mu Uru!! natokea mrawi shinga mbona siogopi? peleka upupu wako hukooooo ngoromiko weye kiboboru kasoro masikio

Hahahaha. . . NGOROMIKO. .. hehehe sijasikia hilo neno nna miaka.Asante kwa kunifurahisha.
 
Heshma kwenu woote na Merry xmass to u
Nimekaa mahali na makabila mchanganyiko tunapata mambo yetu yalee...
Tuna wachaga pia hapa wakiwemo wa Uru

Huyu mchaga wa Uru imemuwia vigumu sana kutaja kule anapotoka I mean Uru..na sio mara ya kwanza..ilishatokea tena kwa wchaga wengine wa hukohuko huru kulitaja ilo eneo..ninalazimika kuuliza ni kwa nnwachaga wa Uru mnaogopa kujitaja mnapotokea!!?
Au ni sababu ya kihistoria ya ile sanamu pale YMCAM?plz have confidence jamani...be
proud of urplace of origin...nawakilisha
MIminaitwa Dee dee natokea Uru mimi natokea uru mawela msuni. mimi natokea UuuuRRRUuuuu Msuni and very and i mean very pround. We ulianzisha topic hii marufi hakuore, kite kya warumu kapisa
 
Mtanzania ukimminya kidogo utagundua ukabila haujafa
source:JK Nyerere.
 
Back
Top Bottom