Wachaga!sio watu hata kidogo!

Ngoma yao ukicheza lazima ushikwe mkono ili usimsachi mwenzio! Wachaga hooyeeee!
 
Hivi ni kweli sasa hawa ni wadudu ndege au mashetani mbona mimi naishi nao?

kama unaishi nao basi jibu unalo huna haja ya kuuliza..

Ila sisi ni wajanja bana Tanzania yote ingekuwa ya wachagga ingekuwa ulaya..
 
hahaahahaahahahhha aa aah aisee mangi ni soo....hakuna kitu cha bure ati....lazma utoke jasho arif....
 
Wachaga wote waliokuwepo katika skandali ya EPA wamesharudisha fedha zote ila wamatumbi wote bado. Inference ni nini? Wachaga pengine waaminifu sana?
 
Back
Top Bottom