Wachaga!sio watu hata kidogo!

wachaga wanajua namna ya kutumia hela vizuri, sio kuwagia kina ....... alafu nyumbani mbavu za mbwa watoto elimu yao std iv choo kijembe kidogo alaaaaa acheni hizo naniiiii
 
Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini.lakini waliweka masharti ya kupata huo msaada.na mambo yalikuwa hivi:-

mhindi>mimi ntachora duara kisha ntarusha pesa juu,zitakazoingia zenu,zitakazo toka nje zangu

mpare>mimi ntachora mstari kisha ntarusha pesa juu,zitakazo dondokea kwenye mstari zenu,zitakazo toka nje zangu

mchaga>mimi ntarusha pesa juu zitakazobaki juu zenu,zitakazorudi chini zangu!

hebu fikiria kama yule shemeji yako mchaga aliyemuoa dada ako akiisoma hii atajisikiaje..!!?ucrudie upompopo ok!
 
Acha uongo dogo.

Wewe mwenyewe unasema Mpare (mmoja) Mhindi (mmoja na Mchaga(mmoja), sasa kwa hiyo aliyerushwa alikuwa Michael xxxxx ambaye ni mchaga

Hivyo mtoa mada ungesema Michael xxxx ni noma sio mtu hata kidogo kuliko kuturundika wachaga wote humo wakati me hata sijui hiyo event ilitokea lini, wapi na vipi unanijumuisha nae.

ZUKU
 
true bro
 
Tuombe radhi tafadhari au kama vp utupatie formula uliyotumia ....kuconvert kutoka umoja hadi kwenye wingi?

Na utu wetu umepotelea wapi hapo sasa?

Vp kama angewaambia awacameroon ndio awasaidie?.... ndio ungemuona muungwana eeeh?
Usipende vyabure jombaa.....hahahahaaa....lol.
 
Mhindi,mpare na mchaga walienda kutoa msaada wa pesa kwa maskini.lakini waliweka masharti ya kupata huo msaada.na mambo yalikuwa hivi:-

mhindi>mimi ntachora duara kisha ntarusha pesa juu,zitakazoingia zenu,zitakazo toka nje zangu

mpare>mimi ntachora mstari kisha ntarusha pesa juu,zitakazo dondokea kwenye mstari zenu,zitakazo toka nje zangu

mchaga>mimi ntarusha pesa juu zitakazobaki juu zenu,zitakazorudi chini zangu!

kweli mangi ni noma
 
Hii inji bila wachaga ingeshauzwa! Asilimia 47.2 ya mapato ya serikali ( kodi) inatokana na shughuli za hawa jamaa. Makusanyo ya kodi ya desemba ni mazuri sana sababu jamaa walichangia sana kwa kugida bieri za kutosha. Diesel na petroli iliyotumika disemba ni karibia mra nne ya matumizi ya miezi mingine.
 
Wakuu sorry kama nimewakwaza,ila kumbukeni kwamba utani si kitu cha kweli.samahani kwa usumbufu wowote uliojitokeza
 
Back
Top Bottom