Wachaga kwishnei....!!!

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Mzee mmoja wa Kichaga ambaye alikuwa mkali sana kwa
binti yake anaamka asubuhi nakupata taarifa kwamba
binti yake ana mimba!

Mzee wa Kichaga: "Irua mbe, nitauwa mtu kweli. Yewe
Manka, nakwenda kasini kweli, nikirudi kasini leo ni
lasima uniambie ni nani kafanya uchafu huu"

Anafoka na kuondoka kuelekea ofisini.

Mchana anapigiwa simu na Mama Manka na kuambiwa kwamba
yule jamaa aliyempa mimba binti yake kafika nyumbani
na anamsubiri kwa mazungumzo!

Mzee anachukua panga lake na kulinoa kabisaaa kwa
ajili ya kwenda kumteketeza mwanaharamu huyo.

Kufika nyumbani mambo yakawa hivi:

Kijana aliyempa mimba binti: Ndio Mzee ni kweli mimi ndiye nimempa mimba binti yako, na kusema kweli sina mpango wa kumuoa. Lakini, akizaa mtoto wa kiume nitakupa US$ 1 million na ghorofa Kariakoo kisha namchukua mtoto.

Akizaa mtoto wa kike nitakupa US$ 1 million na duka Sinza!

Lakini je mzee, ikitokea bahati mbaya mimba hii ikaharibika itakuwaje?

Mzee wa Kichaga: Asee babaangu itabidi tu umpe mimba nyingine, hakuna jinsi!

Usivunjike mbavu hivyo ndivyo wachaga walivyo.
 
Back
Top Bottom