WACHAGA KILIMANJARO vs WAHAYA BUKOBA

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Wahaya mi naona wanapenda elimu na wachaga wanapenda biaShara, na pia wahaya wanajua mapenzi na wachaga wanajua pesa,,,,,
 
kweli wahaya wako juu kwas ile kitu wachaga hawafikii hata kidogo.
ila kwenye mambo mengine mwulizeni kikwete atawaambia ni kina nani anaowategemea.

wala msiumize vichwa sana tafuteni selection za kuanzia o level mpaka univercity.
mpaka hapo ubishi utaisha.

ukiona hiyo ni ngumu safiri nchi yoyote duniani taja hayo makabila ulinganishe ni nchi ngapi zinalijua kila kabia na ni kwa nini wanalijua?
 
Meku hapo kwenye red ni wapi?
 
JF usipowazungumzia wahaya na wachaga unajihisi kama umekuwa shoga vile. Kila siku hapa ni wahaya na wachaga. Give us a break! Manina!
 
Afu eti wachaga kilimanjaro Vs wahaya bukoba. Sema wahaya Kagera we nungayembe.... Kilimanjaro ni mkoa, Bukoba si mkoa... Mkoa ni Kagera kama jografia imekubemenda tukusaidie makuzi.
 
JF usipowazungumzia wahaya na wachaga unajihisi kama umekuwa shoga vile. Kila siku hapa ni wahaya na wachaga. Give us a break! Manina!

Kiki chalema lau mangi? Ukameva mndu mtue n'yo matatiso akwe...
Wosho yaye!
 
Kama Netanyahu alivotuita Tanzania kuwa ni 'irrelevant nation' hapa pia tuna tread ambayo ni 'irrelevant to JF' maana inashindanisha nini na nini? Kuwa juu bila vigezo ni 'irrelevant and immaterial'. Labda tungetaja vigezo kama ni Uchumi, kama ni utamaduni au kama ni elimu n.k
 
Back
Top Bottom