Wachaga jamani dah..!ts too much sasa

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Mchaga mmoja alikuwa na mtoto wa kike kila siku alikuwa anaenda dukani kwake kuomba hela ya kusuka.
Mtoto: mama,baba nimemuomba hela ya kusuka kaninyoa nywele

Mama: una bahati ungemuomba whitedent angekung'oa meno
 
mtoto anataka kusuka na hajui kutafuta hela hata ingekuwa mie ningemnyoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom