nyie waswahili mtaendelea kucheza bao na kupiga miayo kutwa, pale moshi na vitongoji vyake vijana na watu wote wapo busy na utalii wakiongozwa na mh. Ndesamburo aka Ndesa pesa, vijana wanawapandisha wazungu mlima kilimanjaro wanpiga pesa tena in US$ , Makampuni ya kukodisha magari yanapata kazi throughout tourism seasons, wafanyabiashara wenye mahoteli wanapiga pesa mbaya sana, wenye maduka ya bidhaa (retails and mini supermarket) wanapiga hela, wafanyabiashara ndogo ndogo pia wana kama sokoni nao wananufaika, mji wa moshi ni msafi na uliopangika kuliko miji yote tanzania, mbege ni kinywaji cha kimila na inaheshima kuliko hata ghahawa na kashata,
kikubwa zaidi watu wasichofahamu kuhusu mlima kilimanjaro ni kwamba, ile volcano iliyotoka kwenye mlima ule ndiyo iliyotoa udongo wa volcano ambao ndio udongo bora kwa zao la kahawa, hebu jiulize kwanini mkoa huu kati ya mikoa midogo Tanzania lakini ina shule nyingi za sekondari kuliko mikoa yote Tanzania, straight forward hii ni matokeo ya uchumi bora unaotokana na zao la kahawa na mlima kilimanjaro pamoja na zawadi mungu aliyowapa wachaga ya kuwa aggressive in business
mswahili unalalama lalama tuu, kazi hamtaki kufanya ni ufitini tuu,
bakini na njaa zenu
wachaga kanyaga twende
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao