Wachaga hangaikieni mlima wenu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima
wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo?
chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali
msikubali hii chance adimu iwatoke
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao
 
wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima
wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo?
chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali
msikubali hii chance adimu iwatoke
kwa maslahi ya nani???
mimi naona bora uzaliwe mkoa jangwa usio na madini wala kivutio chochote maana hawa wanaoitwa wawekezaji wanajawapora eneo lenu kwa msaada wa serikali ya ccm.

i so happy mkoa wangu hauna chochote zaidi ya mamba na samaki wacheche so tutaendelea kimiliki ardhi.
 
hivi huyu waziri wa hii wizara kabila gani?hapendi wachaga?
 
Huu mlima ni mali ya wakenya ndio walio bize kuutangaza. Ishu siyo wachaga kama unavyotaka kutuaminisha hapa.
 
wachaga mnasusiwa kwa sababu ya itikadi zenu za siasa,hamjuwi???????
 
mengi aupigie kura yeye ndo anayechota huko maji na kuja kutuuzia huku mjini.

mimi najua tembo huwa wahashuka kutoka kule mlimani kila mwaka na kuja kuharibu mashamba na kuuwa watu.

kama vipi kenya wauchukue tu.
 
Nadhani ni bora Watanzania wote tuhangaikie huu mlima usiendelee kuharibika. Barafu ikitoweka hautakuwa na mvuto tena hata kama tukiupigia kura na ukashinda.
 
mengi aupigie kura yeye ndo anayechota huko maji na kuja kutuuzia huku mjini.
mimi najua tembo huwa wahashuka kutoka kule mlimani kila mwaka na kuja kuharibu mashamba na kuuwa watu.
kama vipi kenya wauchukue tu.
wanataka tupige kura ili wakenya wafaidi kura zetu! Akk'aa!
 
ule mlima wetu wakenya wanaibia,kama huamini subiri ccm itoke madarakani ndio utajua
sitaki kufanya kitu chochote kinachohamasishwa na hawa wezi. Wametorosha wanyama hadi magogo? Wanatuambia tupigie kura huu mlima ili waendelee kuneemeka wao? Ni bora wafaidi wakenya ambao hata bidhaa wanatengeneza na kutuuzia kuliko haya madudu-watu yanayojali matumbo yao na malaya zao. Acha wakenya waupigie kampeni na waupigie kura
 
Back
Top Bottom