Wachaga bana " punguzeni bei za kulipa mahariiii" Negotiation lazimaaa!!!

achana naye piga lapa mbele wewe milioni nne zote ukalipe .. au kitu hakijaguswa nini?

Mkubwa kitu hakijaguswa kabisa na nimehakikishiwa kuwa hakijaguswa, ila nkienda kugusa afu nikute kimeguswa nadai changu then :car:
 
kaka unaibiwa wew bikra leo? chunguza upande wa pili waweza kuta umetumika vibaya mnoooooo. m4 kaka unanunua bajaji au tehe kakaaaa usijeliwa mchana kweupeeeeeee

Asante kwa ushauri kaka, nikishindwa nachapa lapa:car:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom