Wacha Mungu wenzangu chekeni kdg!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Habib-al-masad fil-kubul-aajab laysa-it-maujud adbil-kul-wyjad. Mantal-fyka=sad HII ULIYOSOMA NI DUA YA KUONDOA NGUVU SEHEMU ZA SIRI HEBU ZICHEKI ZAKO ZIPO..??
 
Man dhal ladhii yashfau indahu ila bi idhnihi.

Hainitishi wala hainibabaishi.
 
Subiri nirudie tena kuisoma hii dua sababu nilikua naitafuta sana,nairudia ili kama inawezekana iziondoe kabisa na hizo sehemu za siri maana naona zinanitia hasara tuu!!
 
Dunia sio mbaya walimwengu ndo wabaya ukiwa na roho mbaya watu watakuondoa ukiwa na pesa nyingi wengi watakufuata.... Lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom