Wabunge zaidi ya 26 hawamo bungeni

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Posho.jpg

Nimehesabu viti kwenye hii picha ambayo imepigwa ikiwa na neno posho za wabunge.
Kiti kilichokaliwa ni cha Anne Kilango tu na vingine 26 viko wazi. Anne Kilango hukaa sana upande wa CCM.

Idadi hiyo ya absentees 26 ni sawa kabisa na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA bila kuhesabu wa viti maalum.

Viti hivi 26 kwa posho ya shs. 200,000 maana yake ni shs. 5,200,000/= kwa jana tu!

Tafakari
 
Back
Top Bottom