Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

Ni hatar sana huko tunakoelekea, wanaJF tafuten kanun za bunge tuone, huenda kikanun yupo sahih, ingawa kwa haraka haraka inaonekana kabisa AMECHEMKA. Huenda jambo hili la kuzama kwa Meli lipo MAHAKAMANI.!???

hahahahaaa,,,,,wewe umenena,,,,duh
 
Mi alivyokataa kuahirisha niliamua kuangalia mpira wa simba.bungeni kama chadema hawapo hilo sio bunge .bi kiroboto kweli hunaga aibu
hahahahaha hata mimi siwezi kuangalia bunge kama chadema hawapo au hawaongei, maana wabunge wa CCM kazi yao ni kupongezana tu na kuongea mambo ambayo hayana uhalisia maana linaweza kusimama libunge linaanza kutoa shukrani na sifa kibao halafu gafla linaanza kulalamika jimboni kwake sijui hivi mara vile huwa najiuliza hawa ni wabunge au vibaraka halafu wengi ni wabunge wa viti maalum nadhani katiba yetu mpya viti maalum zisiwepo
 
Hivi kweli hakuna namna yoyote ya kumtoa huyo mama kwenye uspika? Inaonyesha anakubali tu kama hoja itatolewa na magamba mwenzake, huyo mama hakustahili kuwa hapo na hata sasa hastahili.
 
mungu waweke viongozi wa chadema ili wawafundishe ccm kazi

Nafikiri hao wabunge wengine wa upinzani wanaanza kuelewa kwanini CDM huwa wanatoka nje.maana nao walikua wakiponda CDM wanavyotoka nje.Pia nadhani ndoa ya CUF na CCM inaanza kuwa patashika.
 
Hivi bimkubwa kaolewa? Du! Yaani kwake ubaya ubaya tu bora mradi maslahi ya chama yamelindwa. Du mwanamke kauzuuuu! Au si mzazi huyu? Maana wale wanaoangamia ni watoto wa wanawake wenzie.
 
Mama amepoteza muelekeo,wabunge hawawezi kuendelea na kikao na huku wananch waliowapakura ili wawakilishe mjengon wanaangaika kujiokoa ktk mawimbi makal ya bahari..mkiambiwa nyie dhaifa mnakasirika au ndio liwalo na liwe?!.
 
... Ni leo leo niliandika kireefu kuhusu mashaka yangu na huyu spika, yaani hajui analosimamia, yupo yupo tu.
 
mjuaji sana,hata mambo ambayo hayaitaji kuumiza kichwa kutoa maamuzi.R.I.P CCM
 
Kuna watu maarafu sana hapa JF, lakini nashangaa hawajasema chochote kuhusu 'ufanisi wa hali ya juu' wa huyu Spika? zomba, rajao wako wapi?
 
... Ni leo leo niliandika kireefu kuhusu mashaka yangu na huyu spika, yaani hajui analosimamia, yupo yupo tu.

kama mtu anafanya masterz au anataka kufanya masters,,,,,thesis yake namshauri iwe BUNGE LA TANZANIA,,,,,,
haita msumbua,,,,kwa kuangalia bunge tu bila hata kusoma likanuni lao anapata data
 
Hiki ni kipimo tosha mama huyu juu ya sera zake za kuilinda serikali. Tumekua tukiona viongozi wa nchi za wenzetu kuahirisha safari na hata kutoka kwenye vikao vya kimataifa na kurejea nyumbani kusaidia vatuzi wa majanga. Hapa wananchi wanapaswa kutambua kuwa nchi yetu haipo salama na hata tuliwapa madaraka hawatuthamini.
 
huyu mama kawa kichekesho leo, mwanzo kakataa kuhairisha Bunge, baada ya wabunge kutoka Nje akaona imekula kwake mara moja akahairisha Bunge kwa aibu kubwa, Nchi hii haina Spika wa Bunge

ila alivyofariki yule bibi aliyekua anmuuguza mama ake, alienda kumzika, hakuwepo bungeni kwa siku kama sikosei tatu
 
Back
Top Bottom