Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru nini tafsiri yake?

mbona nchemba amekuja kugawa hela, tutakula hela yao lkn kura hatuwapi! Nawashuri hizo hela wangekula na washili wa kimeru wanaodhalilisha umeru kwa kumuunga mkono shoga tena aliyejitambulisa kwa kutoboa skio. Cdm wamekuja kulinda kura zetu,,, kwan hatuwajui nyieee,,!

nani tena katoboa sikio mkuu,biashara matangazo
 
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa.
Nini tafsiri ya hili? SIYOI ni tishio? au CHADEMA wamekwisa sasa wanatapatapa?

una matatizo ya kufikiri. nakushauri uwaone madaktari wakupe dozi ya akili yako
 
Kweli akili nzuri ukiwa nayo. Wewe muanzisha mada protini kwako tatizo sana, kama SIOI (na ataoa tu) anatisha basi wabunge wa CHADEMA wasingehamia Arumeru badala yake hata waliopo maeneo ya jirani wangekimbia. Uliona wapi kitu kinachotisha kikakimbiliwa, hata jambo dogo hivyo linakushinda?
 
posho kaka posho inawatesa sana wale watu wanaenda kugawana ruzuku kwa kisingizio cha uchaguzi

mnataka wahamie wapi? Kwani kwa sasa vita ya ukombozi wa jimbo iko wapi? Monduli, igunga au arumeru? Viva viöngozi wote cdm. Ikibidi mje na wake zenu.
 
Kweli akili nzuri ukiwa nayo. Wewe muanzisha mada protini kwako tatizo sana, kama SIOI (na ataoa tu) anatisha basi wabunge wa CHADEMA wasingehamia Arumeru badala yake hata waliopo maeneo ya jirani wangekimbia. Uliona wapi kitu kinachotisha kikakimbiliwa, hata jambo dogo hivyo linakushinda?

aisee we noma yani umenifraisha sana
 
Back
Top Bottom