Wabunge wote vijana kwa tiketi ya CHADEMA kutikisa mkoa tarajiwa wa GEITA kwa siku 3

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Nikuanzia tarehe 03-05 Machi,2015 ni Geita Mjini,kata ya Nkome na Buselesele:Mnyika,Mdee,Zito,Lema,Silinde,Wenje,Higness nk.Kifupi ni wabunge wote vijana kupitia CHADEMA(wakuchaguliwa na wa viti maalumu).

Karibuni wote.
 
Big up cdm,mpango huo uende mbali zaidi, kwa mpango huo kama mtapita walau wilaya moja kila mkoa @mwaka ni lazima kieleweke.MH.ZITO NIKUTAARIFU KWAMBA KOROGWE UNASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA KUTOKANA NA ******ZAO WANALOIOTA MCHANA KUTWA!
 
Hongera kwa maamuzi, kwa kufanya hivyo tutakuwa tumepiga mbwa na mwenye mbwa,cku nyingi makamanda munasubiriwa ,ki ukweli nkome ccm haipo ila wananchi wanalazimishwa tu, mwaka jana wananchi waliandamana kumkataa diwani wa ccm ambapo kamakawa dola ilitumika ,mwananchi mmoja alpigwa risasi na kufa na wengine kujeruhiwa. Mabaloz wa ccm walisha hama chama. Njooni mvune,mavuno ni mengi mno.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU BARIKI HARAKATI.
 
Mkuu unasubiriwa kwenye ile thread yako ya Uzini ukatoe ufafanuzi wa kile ulichosema kuhusu matokeo ya uchaguzi
 
Nikuanzia tarehe 03-05 Machi,2015 ni Geita Mjini,kata ya Nkome na Buselesele:Mnyika,Mdee,Zito,Lema,Silinde,Wenje,Higness nk.Kifupi ni wabunge wote vijana kupitia CHADEMA(wakuchaguliwa na wa viti maalumu).

Karibuni wote.
wenje ana miaka mingapi
 
bigup kwa harakati zenu za kutoa elimu ya uraia,japo maggamba wanaona ni uhaini.
zitto& mnyika+ mdee,ongozeni harakati hizo kwa amani,nawaaminia.
Lema,nakukubali sana,naku-feel more than i can say.harakati zako za arusha zisambaze nchi nzima.
wakati maggamba wananyukana NA POSHO ZAO,nyie mnakata mbuga..
BIG-UP CHADEMA.
 
Hii Mikoa ya kuanzishwa kisiasa ipo Kazi........... Kabla ya uanzisha Mkoa wangejegha mahospitali na huduma muhimu za kijamii. Hatua ya mwisho ndio waweke uogozi wa Kisiasa.
 
Ndugu wana JF kutakuwa na mkutano mkubwa sana utakaofanywa na wabunge wote vijana wa chadema kuanzia tarehe 3-5 machi mwaka huu,pia watafanya shughuli mbalimbali za kufungua matawi sehemu mbalimbali katika mkoa wetu tarajiwa wa Geita ikiwa ni pamoja na kuingiza wanachama wapya.Vilevile kutakuwa na harambee kwa ajili kujenga chama ktk wilya ya geita,shughuli itaongozwa na kamanda mkuu RODGERS RUHEGA mbunge mtarajiwa 2012,nawasilisha.:poa:poa​
 
Heshma kwako mkuu! Munasubiriwa kwa shauku kubwa sana ,raia wanahitaji uamsho kwani maisha bora kwao hayaonekani .Kuanzia kata ya Nzera hadi Nkome raia wamechoka sana,njooni mavuno ya kutosha. Kamanda Rogerz analifahamu hilo.TUKO PAMOJA MAKAMANDA.
 
Aiseee,
Hiyo imekaa njema.
Rogers Ruhega alimshinda yule Mlevi Max aliyepigwa BAN bungeni kwa kulewa hadi mjengoni.
Kila la kheri wana Geita.
Nitajitahidi nije niwaunge mkono, kwa sasa niko hapa Arusha nilifika kusikiliza kesi ya Mh. Lema
 
mbona mie nilisikia alishika **** la muhudumu wa mjengoni ambae ni mke wa mtu?

Nipo Geita.Kwa kweli Geita ni promising constituency kwa opposition.Hali iliyopo ni mbaya,wenyeji kugeuzwa wakimbizi na wageni.Hali ya Geita haina tofauti na jimbo la Ogun Niger-Delta enzi za harakati za Ken Sarowiwa.

Vijana wanahujumiwa na wawekezaji wa kikaburu wakishirikiana na polisi.
 
Back
Top Bottom